Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
"Salmin Hoza hana yeyote wa kumlaumu, refa kwanza hakuwa karibu, kwa hiyo alipaswa kufahamu hilo na unapocheza namna ile unampa advantage yule ambaye anashambulia kujiangusha. Kwangu mimi haikuwa penalty ila Salmin Hoza alipaswa kuwa makini" [emoji2788] @geoff_lea ndani ya @crownsports_cm ya @crownfmtz muda huu.