Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninyi vilaza wa kanuni acheni mazoea, mpira huchezwa kwa kanuni siyo ile mipira ya makaratasi. Kanuni hutoa haki kwa upande mmoja na wajibu kwa upande mwingine usipoitaka haki yako siyo kosa wala si lazima bali usipotimiza wajibu kwa kutoa haki ni kosa kikanuni. Simba walitaka haki yao kikanuni mlipaswa na ni wajibu wa lazima kwa wahusika wa uwanja kuitekeleza. Yanga acheni kujificha nyuma ya msimamizi wa uwanja. Kama mlikuwa mmejiandaa kwa nini mliwazuia kwa kujificha nyuma ya mabaunsa tunaowafahamu na kuwaona kila siku wakiambatana na yanga ktk safari na mechi mbalimbali. Simba walifika saa 1 hadi saa tatu kwa nini msifungue uwanja. Someni kanuni ya 31 na 34. Muone kama simba wako sahihi au kaa!Baada ya kukikagua kikosi chao na kile cha Yanga, Simba walijua kuwa hawako tayari kucheza derby na kufungwa tena na yanga kwa mara ya 5 mtawalia, ila hawakujua wataanza vipi kuacha kupeleka timu uwanjani siku ya mechi. Baada ya kutafakari sana wao wenyewe na kuwasiliana na baadhi ya wajumbe walioko kwenye bodi ya ligi ambao ni Simba allies, ndiyo wakaja na mpango huu wa kwenda uwanjani usiku bila kutoa taarifa pahala pooopooote pale ili wakute jambo litakalowapatia sababu (nyepesi) ya kugomea mechi.
Baada ya kukuta geti la uwanja limefungwa hawakutaka kuhangaika na kupata maoni na ushauri kutoka uongozi wa uwanja (BMT, Wizara), TFF/Bodi ya ligi wala vyombo vya dola (kamanda wa polisi Dar) ingawa uwezo wa kufanya hivyo walikuwa nao. Hawakutaka kupata maoni ya watu hao kwasababu wangesababisha geti lifunguliwe na kukosa hoja ya kugomea mechi.
Ingawa kanuni ipo ya kuruhusu timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa mechi siku moja kabla ya mechi lakini kanuni hii kwa hapa kwetu Tanzania ni optional; sio mandatory (lazima) kwamba lazima timu zote kwenye ligi zifanyike mazoezi ya mwisho la sivyo mechi itaahirishwa. Kwanini simba mara hii waliigeuza kanuni hii kuwa ni mandatory (pre-requisite) ya kucheza mechi na Yanga tarehe 8?, Je, Simba huwa mechi zake zoooote ilizocheza huko nyuma zimetanguliwa na kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa mazoezi kabla ya mechi? Kama sio, kwanini iwe ni lazima safari hii kwenye mechi hii?
Kulikuwa na dhamira (maandalizi) ya Simba kugomea kupeleka timu uwanjani. Yanga ipewe points zake 3 na simba lolote liwakute kwa mujibu wa kanuni za ligi na sheria za nchi kwa walioathirika na uwahirishwaji wa mechi.
Kumbe msafara ulikua na police, then unachojaribu kusema police nao wahojiwe kama simba walizuiwa au la? Au unasema simba hawakufika kabisa siku hiyo wanayosema walizuiwa?Simba hawana hoja
Walifanya pre match meeting na kusema wamejiandaa na wako tayari Kwa mchezo
Wanasema eti walizuiwa na mabaunsa wa Yanga.
Toka lini Yanga ikawa na watendaji mabaunsa ?
Hao mabaunsa wangezuiaje msafara wa Simba wenye escort ya police?
Hao mabaunsa waliowazuia wawataje Kwa majina tuone kama ni watendaji wa Yanga.
Simba waliandaa upenyo wa kukimbia mechi
Hao mbumbumbu hawana akiliKumbe msafara ulikua na police, then unachojaribu kusema police nao wahojiwe kama simba walizuiwa au la? Au unasema simba hawakufika kabisa siku hiyo wanayosema walizuiwa?
Mna ushamba wa kushinda goli nyingi,Sie tumeshawapiga vipigo vizito ambavyo hamjawahi kulipa,lipeni kwanza zile 5-0 ndio mje kupiga keleleKil
Ndio ni Kile kile kilichowafunga tano na kuwafunga mara 4 mfululizo pasipo kuomba ata maji
Sio Yanga imezuia machoko hawa, bali geti lilifungwa na wenye uwanja wao. Uwanja hauzi kuwa wazi kama hakuna taarifa ya mtu kuja kuutumia. Hatuna utamaduni wa mazoezi ya mwisho Tanzania.Msiongeigopa Simba simple tu msingewazuia kufanya mazoezi.
Hizi pumba zote zisingekuwepo na Simba wasingekua na base ya kugomea mechi.
Over
Uwanja uko kwenye matengenezo, Kuna vifaa vingi vya gharama vinavyohitaji kulindwa kwa gharama zote, huwezi kuja kiboya bila taarifa ukafunguliwa uwanja kiboya. Hata Yanga hawakuwa na mamlaka ya kubaki na funguo za uwanja.Sasa wana uhakika gani kuwa wale mabaunsa ni watumishi wa Yanga?
Yanga haimiliki uwanja wa Taifa
Yanga alikuwa mwenyeji kiitafaki tu hana mamlaka ya kulinda uwanja wala funguo za mageti
Yap; uko sahihi 100%.Msiongeigopa Simba simple tu msingewazuia kufanya mazoezi.
Hizi pumba zote zisingekuwepo na Simba wasingekua na base ya kugomea mechi.
Over
Kubwa jinga weweUko sahihi kwa 💯%
Kama uko karibu na baba yako hata kama ni wa kambo tu, mwambie hayo maneno mbele ya mama yako, ok?Kubwa jinga wewe
Utadhani hawaujui namna mali za serikali zinavyolindwa. Hivi Uwanja wa mabilioni ya serikali kama unaweza kulindwa na mabaunsa wa Yanga? Uwanja kama ule unaweza kujiendea na kuingia bila kutoa taarifa?Kama uko karibu na baba yako hata kama ni wa kambo tu, mwambie hayo maneno mbele ya mama yako, ok?
Nina uhakika mtani ukipimwa akili na Rage hatokukuta na IQ hata moja, jamaa amekupa hoja jibu hoja kwa hoja, baunsa wa Yanga kakuzuia kuingia uwanjani piga simu BMT, TFF, Wizarani, na Polisi waje kumuondoa mbona sasa unaishia mayowe kama Dem tu na kukimbia, hakika msimbazi ni zero brain tu wamejaaHakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
Simba sc walitoka kucheza na Azam FC hivi karibuni matokeo yalikuwa sare ya 2-2, kwenye uwanja huohuo wa Mkapa kwa mantiki hiyo Simba SC uwanja wanaufamu vizuri tena Wana kauli mbiu ya 'HATOKI MTU KWA MKAPA', swali fikirishi je kungeli nyesha mvua kubwa siku hiyo jibu ni kwamba wasingeli fanya mazoezi na kesho yake dabi ingechezwaBaada ya kukikagua kikosi chao na kile cha Yanga, Simba walijua kuwa hawako tayari kucheza derby na kufungwa tena na yanga kwa mara ya 5 mtawalia, ila hawakujua wataanza vipi kuacha kupeleka timu uwanjani siku ya mechi. Baada ya kutafakari sana wao wenyewe na kuwasiliana na baadhi ya wajumbe walioko kwenye bodi ya ligi ambao ni Simba allies, ndiyo wakaja na mpango huu wa kwenda uwanjani usiku bila kutoa taarifa pahala pooopooote pale ili wakute jambo litakalowapatia sababu (nyepesi) ya kugomea mechi.
Baada ya kukuta geti la uwanja limefungwa hawakutaka kuhangaika na kupata maoni na ushauri kutoka uongozi wa uwanja (BMT, Wizara), TFF/Bodi ya ligi wala vyombo vya dola (kamanda wa polisi Dar) ingawa uwezo wa kufanya hivyo walikuwa nao. Hawakutaka kupata maoni ya watu hao kwasababu wangesababisha geti lifunguliwe na kukosa hoja ya kugomea mechi.
Ingawa kanuni ipo ya kuruhusu timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa mechi siku moja kabla ya mechi lakini kanuni hii kwa hapa kwetu Tanzania ni optional; sio mandatory (lazima) kwamba lazima timu zote kwenye ligi zifanyike mazoezi ya mwisho la sivyo mechi itaahirishwa. Kwanini simba mara hii waliigeuza kanuni hii kuwa ni mandatory (pre-requisite) ya kucheza mechi na Yanga tarehe 8?, Je, Simba huwa mechi zake zoooote ilizocheza huko nyuma zimetanguliwa na kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa mazoezi kabla ya mechi? Kama sio, kwanini iwe ni lazima safari hii kwenye mechi hii?
Kulikuwa na dhamira (maandalizi) ya Simba kugomea kupeleka timu uwanjani. Yanga ipewe points zake 3 na simba lolote liwakute kwa mujibu wa kanuni za ligi na sheria za nchi kwa walioathirika na uwahirishwaji wa mechi.
Vipi walipocheza na JKT,hao majeruhi walikuwepo?hao majeruhi ndio wamefanya wakatolewa kimataifa? wakati mnaota kuifunga Simba 7-0,Lini hiyo timu yako iliifunga Simba 5-0 tu?mmefungwa 5-0 hamjalipa hadi sasa, achilia mbali zile 6-0Yanga ilicheza na tabora wakiwa na majeruhi kibao na kadi. Kama wangekuwa Simba wangekula kona.
Hakuna mahali panaonyesha kuwaSimba walikuta mageti yako wazi lakini "mabaunsa" walikataa katakata kuwaruhusu Simba kupita hata baada ya kuamrishwa na maofisa wa bodi ya ligi, TFF, BMT, polisi na hata Msigwa (Wizara) iwaruhusu Simba waingie uwanjani kutimiza matakwa ya kikanuni ya bodi ya ligi. Hawakutoa taarifa kwa yeyote wakaenda kimyakimya, hivyo walijua kuwa watakuta walinzi wa uwanja hawana taarifa ya ujio wao, mageti yatakuwa yamefungwa na hawataruhusiwa kuingia uwanjani bila ya walinzi kupata amri kutoka kwenye mamlaka zao za juu za ulinzi na uwanja; Hivyo wangepata sababu ya kusema hatuji kucheza kwakuwa tulizuiliwa kuingia. Hata bodi ya ligi yenyewe isingeweza kutoa amri mageti ua uwanja yafunguliwe saa zile kwakuwa hiyo haikuwa agenda siku ya pre-match meeting, hivyo mamlaka ya uwanja haikutaarifiwa kama Simba watakwenda pale usiku kwa mazoezi ya mwisho. Ingekuwa ngumu kwa TFF/Bodi ya ligi kuiomba serikali uwanja usiku ule ghafla.Nina uhakika mtani ukipimwa akili na Rage hatokukuta na IQ hata moja, jamaa amekupa hoja jibu hoja kwa hoja, baunsa wa Yanga kakuzuia kuingia uwanjani piga simu BMT, TFF, Wizarani, na Polisi waje kumuondoa mbona sasa unaishia mayowe kama Dem tu na kukimbia, hakika msimbazi ni zero brain tu wamejaa
Unaelewa maana ya "goli la mama"?Simba sc walitoka kucheza na Azam FC hivi karibuni matokeo yalikuwa sare ya 2-2, kwenye uwanja huohuo wa Mkapa kwa mantiki hiyo Simba SC uwanja wanaufamu vizuri tena Wana kauli mbiu ya 'HATOKI MTU KWA MKAPA', swali fikirishi je kungeli nyesha mvua kubwa siku hiyo jibu ni kwamba wasingeli fanya mazoezi na kesho yake dabi ingechezwa
Simba SC na Yanga SC hakuna mgeni kwenye matumizi ya uwanjani wa Mkapa, wanasiasa kuingilia michezo gharama yake ni FIFA kuipa adhabu Tanzania
Swali la ziada je wanasiasa, (system), waliingilia mchezo, wanasiasa wa Tanzania wanatumia unyumbu kufanya maamuzi, kwanini bodi ya Ligi wapo kama sanamu, (figure heads)
Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data
Hitimisho bodi ya Ligi ivunjwe kwasababu hawawezi kutoa adhabu kwa Simba SC na Yanga SC,
Chakushangaza bodi hiyo hiyo inaweza kuvifungia viwanja vibovu na kutoa adhabu kwa vilabu vingine vinavyo shiriki ligi kiuu Tanzania
Unafahamu kuwa bodi ya ligi inawasubiri Camara na Che malone wapone ndio wapange tarehe ya mchezo kurudiwa?Vipi walipocheza na JKT,hao majeruhi walikuwepo?hao majeruhi ndio wamefanya wakatolewa kimataifa? wakati mnaota kuifunga Simba 7-0,Lini hiyo timu yako iliifunga Simba 5-0 tu?mmefungwa 5-0 hamjalipa hadi sasa, achilia mbali zile 6-0