Simba walienda uwanjani kutafuta sababu ya kugoma kucheza, waadhibiwe tu

Ninyi vilaza wa kanuni acheni mazoea, mpira huchezwa kwa kanuni siyo ile mipira ya makaratasi. Kanuni hutoa haki kwa upande mmoja na wajibu kwa upande mwingine usipoitaka haki yako siyo kosa wala si lazima bali usipotimiza wajibu kwa kutoa haki ni kosa kikanuni. Simba walitaka haki yao kikanuni mlipaswa na ni wajibu wa lazima kwa wahusika wa uwanja kuitekeleza. Yanga acheni kujificha nyuma ya msimamizi wa uwanja. Kama mlikuwa mmejiandaa kwa nini mliwazuia kwa kujificha nyuma ya mabaunsa tunaowafahamu na kuwaona kila siku wakiambatana na yanga ktk safari na mechi mbalimbali. Simba walifika saa 1 hadi saa tatu kwa nini msifungue uwanja. Someni kanuni ya 31 na 34. Muone kama simba wako sahihi au kaa!
 
Kumbe msafara ulikua na police, then unachojaribu kusema police nao wahojiwe kama simba walizuiwa au la? Au unasema simba hawakufika kabisa siku hiyo wanayosema walizuiwa?
 
Kumbe msafara ulikua na police, then unachojaribu kusema police nao wahojiwe kama simba walizuiwa au la? Au unasema simba hawakufika kabisa siku hiyo wanayosema walizuiwa?
Hao mbumbumbu hawana akili
 
Kil

Ndio ni Kile kile kilichowafunga tano na kuwafunga mara 4 mfululizo pasipo kuomba ata maji
Mna ushamba wa kushinda goli nyingi,Sie tumeshawapiga vipigo vizito ambavyo hamjawahi kulipa,lipeni kwanza zile 5-0 ndio mje kupiga kelele
 

Attachments

  • Screenshot_20250313-173239.png
    568.7 KB · Views: 1
Msiongeigopa Simba simple tu msingewazuia kufanya mazoezi.

Hizi pumba zote zisingekuwepo na Simba wasingekua na base ya kugomea mechi.

Over
Sio Yanga imezuia machoko hawa, bali geti lilifungwa na wenye uwanja wao. Uwanja hauzi kuwa wazi kama hakuna taarifa ya mtu kuja kuutumia. Hatuna utamaduni wa mazoezi ya mwisho Tanzania.
 
Hicho kikosi cha Yanga ndio kilichopigwa 3-1 na Tabora au kile kilichoshindwa kuwafunga JKT?
Yanga ilicheza na tabora wakiwa na majeruhi kibao na kadi. Kama wangekuwa Simba wangekula kona.
 
Sasa wana uhakika gani kuwa wale mabaunsa ni watumishi wa Yanga?

Yanga haimiliki uwanja wa Taifa
Yanga alikuwa mwenyeji kiitafaki tu hana mamlaka ya kulinda uwanja wala funguo za mageti
Uwanja uko kwenye matengenezo, Kuna vifaa vingi vya gharama vinavyohitaji kulindwa kwa gharama zote, huwezi kuja kiboya bila taarifa ukafunguliwa uwanja kiboya. Hata Yanga hawakuwa na mamlaka ya kubaki na funguo za uwanja.
 
Kama uko karibu na baba yako hata kama ni wa kambo tu, mwambie hayo maneno mbele ya mama yako, ok?
Utadhani hawaujui namna mali za serikali zinavyolindwa. Hivi Uwanja wa mabilioni ya serikali kama unaweza kulindwa na mabaunsa wa Yanga? Uwanja kama ule unaweza kujiendea na kuingia bila kutoa taarifa?

Simba hawajui protocols (chain of command) za ulinzi na walinzi/askali zilivyo? Yaani uende kinyemela halafu wakufungulie bila ya kuoewa movement order kutoka a reliable source.
 
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
Nina uhakika mtani ukipimwa akili na Rage hatokukuta na IQ hata moja, jamaa amekupa hoja jibu hoja kwa hoja, baunsa wa Yanga kakuzuia kuingia uwanjani piga simu BMT, TFF, Wizarani, na Polisi waje kumuondoa mbona sasa unaishia mayowe kama Dem tu na kukimbia, hakika msimbazi ni zero brain tu wamejaa
 
Simba sc walitoka kucheza na Azam FC hivi karibuni matokeo yalikuwa sare ya 2-2, kwenye uwanja huohuo wa Mkapa kwa mantiki hiyo Simba SC uwanja wanaufamu vizuri tena Wana kauli mbiu ya 'HATOKI MTU KWA MKAPA', swali fikirishi je kungeli nyesha mvua kubwa siku hiyo jibu ni kwamba wasingeli fanya mazoezi na kesho yake dabi ingechezwa

Simba SC na Yanga SC hakuna mgeni kwenye matumizi ya uwanjani wa Mkapa, wanasiasa kuingilia michezo gharama yake ni FIFA kuipa adhabu Tanzania

Swali la ziada je wanasiasa, (system), waliingilia mchezo, wanasiasa wa Tanzania wanatumia unyumbu kufanya maamuzi, kwanini bodi ya Ligi wapo kama sanamu, (figure heads)

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data

Hitimisho bodi ya Ligi ivunjwe kwasababu hawawezi kutoa adhabu kwa Simba SC na Yanga SC,

Chakushangaza bodi hiyo hiyo inaweza kuvifungia viwanja vibovu na kutoa adhabu kwa vilabu vingine vinavyo shiriki ligi kiuu Tanzania
 
Yanga ilicheza na tabora wakiwa na majeruhi kibao na kadi. Kama wangekuwa Simba wangekula kona.
Vipi walipocheza na JKT,hao majeruhi walikuwepo?hao majeruhi ndio wamefanya wakatolewa kimataifa? wakati mnaota kuifunga Simba 7-0,Lini hiyo timu yako iliifunga Simba 5-0 tu?mmefungwa 5-0 hamjalipa hadi sasa, achilia mbali zile 6-0
 
Hakuna mahali panaonyesha kuwaSimba walikuta mageti yako wazi lakini "mabaunsa" walikataa katakata kuwaruhusu Simba kupita hata baada ya kuamrishwa na maofisa wa bodi ya ligi, TFF, BMT, polisi na hata Msigwa (Wizara) iwaruhusu Simba waingie uwanjani kutimiza matakwa ya kikanuni ya bodi ya ligi. Hawakutoa taarifa kwa yeyote wakaenda kimyakimya, hivyo walijua kuwa watakuta walinzi wa uwanja hawana taarifa ya ujio wao, mageti yatakuwa yamefungwa na hawataruhusiwa kuingia uwanjani bila ya walinzi kupata amri kutoka kwenye mamlaka zao za juu za ulinzi na uwanja; Hivyo wangepata sababu ya kusema hatuji kucheza kwakuwa tulizuiliwa kuingia. Hata bodi ya ligi yenyewe isingeweza kutoa amri mageti ua uwanja yafunguliwe saa zile kwakuwa hiyo haikuwa agenda siku ya pre-match meeting, hivyo mamlaka ya uwanja haikutaarifiwa kama Simba watakwenda pale usiku kwa mazoezi ya mwisho. Ingekuwa ngumu kwa TFF/Bodi ya ligi kuiomba serikali uwanja usiku ule ghafla.
 
Unaelewa maana ya "goli la mama"?
 
Vipi walipocheza na JKT,hao majeruhi walikuwepo?hao majeruhi ndio wamefanya wakatolewa kimataifa? wakati mnaota kuifunga Simba 7-0,Lini hiyo timu yako iliifunga Simba 5-0 tu?mmefungwa 5-0 hamjalipa hadi sasa, achilia mbali zile 6-0
Unafahamu kuwa bodi ya ligi inawasubiri Camara na Che malone wapone ndio wapange tarehe ya mchezo kurudiwa?

Yanga wawe makini sana na bodi ya ligi, itawaingiza Yanga kwenye mtego wa kuipa Simba points 3. Yanga lazima wadai haki yao sasa sasa na leoleo kabla bodi ya ligi haijapanga trh ya kurudiwa kwa mechi, la sivyo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…