Simba walifanya uamuzi sahihi kuachana na Chama

Simba walifanya uamuzi sahihi kuachana na Chama

Magwangala

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
2,836
Reaction score
2,138
Uamuzi wa kumuacha Cloutu Chama ulipokewa kwa hisia tofauti na washabiki wa Simba,hata uamuzi wa kumsajili Jean Charles Ahoua kuwa mbadala wake ulipingwa na wengi ikizingatiwa hata aina ya uchezaji wa Ahoua si ya kuburudisha kama ile ya Chama. Lakini hadi sasa Ahoua akiwa amecheza mechi 10 tu ameifikia rekodi ya magoli na assissts za Chama aliyoitengeneza msimu mzima (alicheza mechi 23).
 
Attachments

  • Screenshot_20241223-143813.png
    Screenshot_20241223-143813.png
    712.4 KB · Views: 2
Kama kocha alitakiwa aingie kwenye mfumo wa Chama wasingrkuwa na jeuri ya kumwacha, Makolo walimwacha Pa Omary Jobe na Sawadogo
 
Hukusikia viongozi wa Simba na msemaji wao kuwa mkataba umeisha wanamuita mezani waongee jamaa anakimbia kimbia?
Kwamba wakimuita mezani anakimbia kimbia alisema nani? unaweza kuweka ushahidi hapa msemaji wa Simba aki
Kama kocha alitakiwa aingie kwenye mfumo wa Chama wasingrkuwa na jeuri ya kumwacha, Makolo walimwacha Pa Omary Jobe na Sawadogo
Utopolo kama wangekuwa na uwezo wangemsajili miaka iliyopita alipokuwa kijana maana walimtamani siku nyingi.Project mpya ya Simba ni kusajili wachezaji wa kimataifa wenye umri chini ya 25.Huyo kikongwe haendani na project
 
Kwamba wakimuita mezani anakimbia kimbia alisema nani? unaweza kuweka ushahidi hapa msemaji wa Simba aki
Utopolo kama wangekuwa na uwezo wangemsajili miaka iliyopita alipokuwa kijana maana walimtamani siku nyingi.Project mpya ya Simba ni kusajili wachezaji wa kimataifa wenye umri chini ya 25.Huyo kikongwe haendani na project
Viongozi wako hawakuamini kama Chama amewagomea kuongeza mkataba, mwishowe wakajidai hawata toa barua ya kumruhusu mlivyo mbumbumbu hamjui ata mtu aliyemaliza mkataba haitaji barua yoyote kutoka kwenu.

Mkamtumia na Ticket businesses class ya Emirate ili aka onane na Tajiri MO katika Moja ya hotel kubwa pale Dubai lakini jamaa aka chanachana vi tiketi vyenu.

Alisha wagomea miezi Sita kabla ya mkataba kwisha mkawa mna mletea visa na mwishowe mkaja na ushawishi wa MO na fedha na Bado aliwashenyeta.

Unasema mna project ya kusajili wachezaji wenye miaka Chini ya 25 wa kimataifa wakati mliosajili hakuna aliye Chini ya miaka 27.

Mutale ana kipala na kilasiku pancha anaweza kua na 29.

Kocha ana miezi zaidi ya mi nne ana fundisha lakini timu ikifika dk 70 timu inakata pumzi maana yake timu Ina Wazee wengi.
 
Simba hawakuwahi kumuacha Chama, Bali Chama aliwakacha simbilisi baada ya mkataba kufika ukingoni. Hivyo acha kupotosha
 
Hivi kweli kwaakili yako unamfananisha Chama na huyo overrated player wenu,

Mnataka kumfanya awe mbadala wa Chama lakini hana huo uwezo zaidi ya Magoli ya PENALTY na kupiga faulo ambazo master wa hizo mambo ni Chama!
 
Uko sahihi kwa ufahamu wako, unaweza kuwaza hivyo pia kwa Saido na Miquisone
Simba hawakuachana na Chama; alipelekewa tiketi ya kwenda Dubai kukutana na MO ili kufanya makubaliano lakini akaikataa.
 
Simba hawakuachana na Chama; alipelekewa tiketi ya kwenda Dubai kukutana na MO ili kufanya makubaliano lakini akaikataa.
Hizo ni za kwenye kahawa, ilifahamika tangu mwanzo kuwa Simba wanaanza project mpya ya kuwa na wachezaji vijana hivyo mpango ni kusajili mpro wenye umri usiozidi miaka 25 na kutoongeza mkataba na wachezaji ambao umri umeenda kama akina Chama, Miquisone na Saido.Wangekuwa na mpango naye wangemuongeza mkataba hata kabla ya miezi 6 kubaki. Tena huyo Chama file lake ni chafu kutokana na ukaribu na white.
 
Simba hawakumuacha chama acha kupotosha ni Chama aliiacha Simba
Kweli kabisa, hata mimi nakumbuka alisema anataka kwenda Nyuma Mwiko akatimize ndoto yake ya kubeba ubingwa wa afirika
 
Viongozi wako hawakuamini kama Chama amewagomea kuongeza mkataba, mwishowe wakajidai hawata toa barua ya kumruhusu mlivyo mbumbumbu hamjui ata mtu aliyemaliza mkataba haitaji barua yoyote kutoka kwenu.

Mkamtumia na Ticket businesses class ya Emirate ili aka onane na Tajiri MO katika Moja ya hotel kubwa pale Dubai lakini jamaa aka chanachana vi tiketi vyenu.

Alisha wagomea miezi Sita kabla ya mkataba kwisha mkawa mna mletea visa na mwishowe mkaja na ushawishi wa MO na fedha na Bado aliwashenyeta.

Unasema mna project ya kusajili wachezaji wenye miaka Chini ya 25 wa kimataifa wakati mliosajili hakuna aliye Chini ya miaka 27.

Mutale ana kipala na kilasiku pancha anaweza kua na 29.

Kocha ana miezi zaidi ya mi nne ana fundisha lakini timu ikifika dk 70 timu inakata pumzi maana yake timu Ina Wazee wengi.
Wewe nakufahamu umezoea habari za vijiwe vya kahawa,ndio maana mjadala wangu wa Yanga kuisaidia Simba isishuke daraja ulikimbia, unaweza kuleta ushahidi wa mchezaji yeyote wa Simba kutoka nje aliyesajiliwa mwaka huu mwenye miaka zaidi ya 25?Hizo za ticket ya Dubai ni propaganda za management ya Chama kuwaingiza mkenge utopolo ili wamsajili mchezaji wa ndoto zao walioshindwa kumsajili alipokuwa kwenye umri sahihi.Ni kama propaganda za watu wa Feitoto tu.
 
Back
Top Bottom