Simba walifanya uamuzi sahihi kuachana na Chama

Simba walifanya uamuzi sahihi kuachana na Chama

Viongozi wako hawakuamini kama Chama amewagomea kuongeza mkataba, mwishowe wakajidai hawata toa barua ya kumruhusu mlivyo mbumbumbu hamjui ata mtu aliyemaliza mkataba haitaji barua yoyote kutoka kwenu.

Mkamtumia na Ticket businesses class ya Emirate ili aka onane na Tajiri MO katika Moja ya hotel kubwa pale Dubai lakini jamaa aka chanachana vi tiketi vyenu.

Alisha wagomea miezi Sita kabla ya mkataba kwisha mkawa mna mletea visa na mwishowe mkaja na ushawishi wa MO na fedha na Bado aliwashenyeta.

Unasema mna project ya kusajili wachezaji wenye miaka Chini ya 25 wa kimataifa wakati mliosajili hakuna aliye Chini ya miaka 27.

Mutale ana kipala na kilasiku pancha anaweza kua na 29.

Kocha ana miezi zaidi ya mi nne ana fundisha lakini timu ikifika dk 70 timu inakata pumzi maana yake timu Ina Wazee wengi.
Mkuu, tukubali Chama walituachia ng'ombe mzee. Umesahau misimu zaisi ya 3 tunasema Chama kasajili Yanga tunamwona Simba? Chama umri umeenda na Yanga mkataba ukiisha tunamwacha. Mark my words. Tulimsajili kisiasa tu. Match ngumu Chama humwoni.
 
Unajua mpira masta, Chama msimu ukiopita namba zake zilipungua kwa kasi sana kutokana na umri na kutumika muda mrefu. Hata majeraha yanayompata sasa ni sababu hiyo hiyo.
 
Simba hawakumuacha chama acha kupotosha ni Chama aliiacha Simba
Kwamba chama alivunja mkataba na Simba ?! Tujuavyo mkataba baina ya Simba na chama ulimalizika , chama akaenda zake Yanga kukaa bench kasubiri sub
 
Unajua mpira masta, Chama msimu ukiopita namba zake zilipungua kwa kasi sana kutokana na umri na kutumika muda mrefu. Hata majeraha yanayompata sasa ni sababu hiyo hiyo.
Sisi huwa tunafanya ushabiki na si uana michezo. Chama miaka yote Yanga tunasema ni konokono pamoja na kila mwaka kusema tutamsajili. This time tunaye. Ana assist ngapi? Ana magoli mangapi? Kaisaidiaje team kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom