Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Uko sahihi kwa ufahamu wako, unaweza kuwaza hivyo pia kwa Saido na MiquisoneSimba hawakumuacha chama acha kupotosha ni Chama aliiacha Simba
Mkataba uliisha sasa aliiachaje?Simba hawakumuacha chama acha kupotosha ni Chama aliiacha Simba
Kule wenye akili ni 2 tuuu. Huyo mbishi ni hamnazo kichwani.Mkataba uliisha sasa aliiachaje?
Hukusikia viongozi wa Simba na msemaji wao kuwa mkataba umeisha wanamuita mezani waongee jamaa anakimbia kimbia?Mkataba uliisha sasa aliiachaje?
Kwamba wakimuita mezani anakimbia kimbia alisema nani? unaweza kuweka ushahidi hapa msemaji wa Simba akiHukusikia viongozi wa Simba na msemaji wao kuwa mkataba umeisha wanamuita mezani waongee jamaa anakimbia kimbia?
Utopolo kama wangekuwa na uwezo wangemsajili miaka iliyopita alipokuwa kijana maana walimtamani siku nyingi.Project mpya ya Simba ni kusajili wachezaji wa kimataifa wenye umri chini ya 25.Huyo kikongwe haendani na projectKama kocha alitakiwa aingie kwenye mfumo wa Chama wasingrkuwa na jeuri ya kumwacha, Makolo walimwacha Pa Omary Jobe na Sawadogo
We jamaa ntu kiziboSimba hawakumuacha chama acha kupotosha ni Chama aliiacha Simba
Viongozi wako hawakuamini kama Chama amewagomea kuongeza mkataba, mwishowe wakajidai hawata toa barua ya kumruhusu mlivyo mbumbumbu hamjui ata mtu aliyemaliza mkataba haitaji barua yoyote kutoka kwenu.Kwamba wakimuita mezani anakimbia kimbia alisema nani? unaweza kuweka ushahidi hapa msemaji wa Simba aki
Utopolo kama wangekuwa na uwezo wangemsajili miaka iliyopita alipokuwa kijana maana walimtamani siku nyingi.Project mpya ya Simba ni kusajili wachezaji wa kimataifa wenye umri chini ya 25.Huyo kikongwe haendani na project
Simba hawakuachana na Chama; alipelekewa tiketi ya kwenda Dubai kukutana na MO ili kufanya makubaliano lakini akaikataa.Uko sahihi kwa ufahamu wako, unaweza kuwaza hivyo pia kwa Saido na Miquisone
Hizo ni za kwenye kahawa, ilifahamika tangu mwanzo kuwa Simba wanaanza project mpya ya kuwa na wachezaji vijana hivyo mpango ni kusajili mpro wenye umri usiozidi miaka 25 na kutoongeza mkataba na wachezaji ambao umri umeenda kama akina Chama, Miquisone na Saido.Wangekuwa na mpango naye wangemuongeza mkataba hata kabla ya miezi 6 kubaki. Tena huyo Chama file lake ni chafu kutokana na ukaribu na white.Simba hawakuachana na Chama; alipelekewa tiketi ya kwenda Dubai kukutana na MO ili kufanya makubaliano lakini akaikataa.
Kweli kabisa, hata mimi nakumbuka alisema anataka kwenda Nyuma Mwiko akatimize ndoto yake ya kubeba ubingwa wa afirikaSimba hawakumuacha chama acha kupotosha ni Chama aliiacha Simba
Wewe nakufahamu umezoea habari za vijiwe vya kahawa,ndio maana mjadala wangu wa Yanga kuisaidia Simba isishuke daraja ulikimbia, unaweza kuleta ushahidi wa mchezaji yeyote wa Simba kutoka nje aliyesajiliwa mwaka huu mwenye miaka zaidi ya 25?Hizo za ticket ya Dubai ni propaganda za management ya Chama kuwaingiza mkenge utopolo ili wamsajili mchezaji wa ndoto zao walioshindwa kumsajili alipokuwa kwenye umri sahihi.Ni kama propaganda za watu wa Feitoto tu.Viongozi wako hawakuamini kama Chama amewagomea kuongeza mkataba, mwishowe wakajidai hawata toa barua ya kumruhusu mlivyo mbumbumbu hamjui ata mtu aliyemaliza mkataba haitaji barua yoyote kutoka kwenu.
Mkamtumia na Ticket businesses class ya Emirate ili aka onane na Tajiri MO katika Moja ya hotel kubwa pale Dubai lakini jamaa aka chanachana vi tiketi vyenu.
Alisha wagomea miezi Sita kabla ya mkataba kwisha mkawa mna mletea visa na mwishowe mkaja na ushawishi wa MO na fedha na Bado aliwashenyeta.
Unasema mna project ya kusajili wachezaji wenye miaka Chini ya 25 wa kimataifa wakati mliosajili hakuna aliye Chini ya miaka 27.
Mutale ana kipala na kilasiku pancha anaweza kua na 29.
Kocha ana miezi zaidi ya mi nne ana fundisha lakini timu ikifika dk 70 timu inakata pumzi maana yake timu Ina Wazee wengi.