Simba walifanya uamuzi sahihi kuachana na Chama

Mkuu, tukubali Chama walituachia ng'ombe mzee. Umesahau misimu zaisi ya 3 tunasema Chama kasajili Yanga tunamwona Simba? Chama umri umeenda na Yanga mkataba ukiisha tunamwacha. Mark my words. Tulimsajili kisiasa tu. Match ngumu Chama humwoni.
 
Unajua mpira masta, Chama msimu ukiopita namba zake zilipungua kwa kasi sana kutokana na umri na kutumika muda mrefu. Hata majeraha yanayompata sasa ni sababu hiyo hiyo.
 
Simba hawakumuacha chama acha kupotosha ni Chama aliiacha Simba
Kwamba chama alivunja mkataba na Simba ?! Tujuavyo mkataba baina ya Simba na chama ulimalizika , chama akaenda zake Yanga kukaa bench kasubiri sub
 
Unajua mpira masta, Chama msimu ukiopita namba zake zilipungua kwa kasi sana kutokana na umri na kutumika muda mrefu. Hata majeraha yanayompata sasa ni sababu hiyo hiyo.
Sisi huwa tunafanya ushabiki na si uana michezo. Chama miaka yote Yanga tunasema ni konokono pamoja na kila mwaka kusema tutamsajili. This time tunaye. Ana assist ngapi? Ana magoli mangapi? Kaisaidiaje team kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…