Kwa Mkapa sio eneo tena la ufalme wa Simba kwa sasa. Ukifuatilia vizuri hivi karibuni amekuwa akipata matokeo kwa mbinde sana akiwa kwa Mkapa.
Nakumbuka Kirumba Mwanza meneja alikuwa mzee Tegete.Simba aliteseka sana na timu za Mwanza hata akina Mbao FC walimtesa sana.Alipata ushindi kwa mbinde mno.Ila akicheza na Yanga Mwanza hawezi kupata ushindi hata wakiwa bora namna gani.
Ndio maana nyuma mwiko wanatamba sana kwa kuwa mipango nje ya uwanja ni mikubwa ipo hadi kwenye kuamua nani aajiriwe kama meneja katika viwanja mbali mbali hapa nchini.
Soka la nchi hii lina mambo mengi sana nje ya uwanja kiasi kwamba unaweza kukata tamaa hata kusajili wachezaji bora.
Wachezaji hawa hawa wa nyuma mwiko wawe Simba na hawa wa Simba wawe nyuma mwiko,asee Mpanzu ataimbwa kuliko Mayele.Na timu hii mtaiona hatari kukiko sasa,wakati hiyo hiyo utopolo wakiwa Simba,Pakome atageuka kuwa mzee haraka sana,Maxi atakuwa Joshua Mutale na wachezaji wengine hutawatamani hata kidogo!
Hayo mambo yanalifanya soka letu kuwa na utata sana.Nyuma mwiko wakimuhitaji mchezaji kutoka Simba,wanaanza kampeni za kumponda sana.Kidogo kidogo wanapata wafuasi kutoka Simba,wanashirikiana kumponda mchezaji wao hadi wanamtoa kwenye reli.Akishatoka tu kwenye reli utaona viongozi wa Simba hawamjali tena na anasajiliwa yanga kizembe mno.
Kwa sasa wamefanikiwa kwa Joshua Mutale.Agenda ilikuwa kwa Kibu ikawa ngumu kidogo na sasa wanamponda Mpanzu.Baaddhi ya mashabiki wapumbavu wa Simba wapo wanatoa maoni hasi dhidi ya mchezaji.Kuna siku mtamkatisha tamaa kwa sababu ya ujinga wenu.Ole wenu ahamie upande wa pili.Mtajuta.