Simba wameamua kuitafuta furaha kupitia Yanga

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Yes mpira wetu niwa kipekee sana, mashabiki wa nchi hii ni watu wa Pekee kabisa Nikiri hili, mpaka huu usajili unakwenda tamatika hakika tutasikia na kuona mengi sana.

Niseme hivi Simba kama Simba baada ya kutoka kapa kila sehemu hata medali ya mshindi wa pili kombe la Mapinduzi sasa wameamua kuonyesha furaha zao kupitia Yanga.

Huku Yanga wakiwa na furaha karibia 98% ya malengo yao kwenda sawa mwaka huu wao Simba ni kinyume.

Kati ya mashabiki wenye furaha kwa sasa ni mashabiki wa Simba uliza wanachofurahia utasikia tunafurahi Yanga kukosa Kombe Shirikisho, tunafurahi Nabii kuondoka Yanga, Tunafurahi Feisal kuhamia Azam hata sio kwao, tunafurahia na tetesi za Mayele kuondoka...nk inaonyesha picha halisi za mashabiki wa Simba.

Mpaka sasa wao hawajui timu yao imesajili nani huku wakiwa na msimu mbovu kabisa wamesahau kuwauliza viongozi kabisa kuhusu uwanja wao Bunju, kuhusu zile Bilio 20, Mkataba wa Vunja bei, Jezi kuchelewa, bonusi za wachezaji kama zimelipwa hilo wao haliwahusu.

Aliyesema maskini wengi wana hatari zaidi ya kutoona mbingu hakukosea yani Simba raha yao ni Yanga ikose Dira iwe kama wao yani badala ya kusema Yanga wana Mayele ngojea nasi tumlete Manzoki au Adebayor hilo kwao sahau na hili linaonyesha maisha halisi ya Mtz hata maofisi WIVU umetuzidi sio kusema nami nipambane niwe kama yeye hapana unampiga majungu kumshusha.

Mwisho wa Siku Yanga akija na rekodi za Unbeaten utawasikia Yanga wanatembeza bahasha za khaki wakisahau wao walikua kwenye vijiwe majungu kufwatilia yasiyowahusu.

Yani kwanini tuamini katika kufanikiwa kwa kumshusha mwingine na sio kumfwata pale na kupambana.

Akili za mjinga ni majungu na tamaa.
 
08454b12-4357-4abb-bace-1b84a3eb4ceb.jpg
 
Msimu umekwisha tunakubali tulikuwa na msimu mbaya, Simba tunaangalia msimu ujao hayo mengine ni frustrations zenu tu, Simba haina mpango na mambo yenu.
 
💯 %

Wanafuata msemo wa waswahili aliye juu msubiri chini badala kumfuata huko huko juu
 
Fact!
 
Unajua wale raia, umeme ukikatika. Anatoka nje kuhakikisha na jirani hana, wale ni mashabiki wa madunduka FC.
Wanalazimisha nasisi tusiwe na furaha, nawaonea huruma, hawatoamini mwisho wa usajili.
TIME WILL TELL...
Imekula kwao mazimaaaa!!!
 
Pole yenu utopwoloooo mlipo tupoo...yani mtatuona sana..
 
Hata hao Yanga wenyewe hawafurahii mafanikio yao, wanafurahia anguko la Simba. Hii ndio Bongo mkuu, you dont have to be so serious if you want to live long.
Wanajisahaulisha wapokea wageni eyapoti...
##Gongowaziiiiii###
 
Back
Top Bottom