Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Unajua wale raia, umeme ukikatika. Anatoka nje kuhakikisha na jirani hana, wale ni mashabiki wa madunduka FC.
Wanalazimisha nasisi tusiwe na furaha,
Huo mfano wako uliotoa ndo upinzani wenyewe, Unadhani kipimo cha furaha yako umekipima bila kuihusisha SIMBA?
Kwani ni nini maana ya watani wa jadi? Huo ndo utani wa jadi. Kuzodoana, kuchekana, kuzomeana, fitna.
Unless unataka mapenzi ya soka yawe kama mapenzi ya mke na mume kwamba mke wa jirani yako akikimbiwa na mumewe ukampe pole.
Yanga ikikimbiwa na wachezaji Simba watawacheka and viceversa.