Simba wameamua kuitafuta furaha kupitia Yanga

Unajua wale raia, umeme ukikatika. Anatoka nje kuhakikisha na jirani hana, wale ni mashabiki wa madunduka FC.
Wanalazimisha nasisi tusiwe na furaha,

Huo mfano wako uliotoa ndo upinzani wenyewe, Unadhani kipimo cha furaha yako umekipima bila kuihusisha SIMBA?

Kwani ni nini maana ya watani wa jadi? Huo ndo utani wa jadi. Kuzodoana, kuchekana, kuzomeana, fitna.

Unless unataka mapenzi ya soka yawe kama mapenzi ya mke na mume kwamba mke wa jirani yako akikimbiwa na mumewe ukampe pole.

Yanga ikikimbiwa na wachezaji Simba watawacheka and viceversa.
 
Huoni wewe ndiyo uko serious sana. Sisi ni zogo la utani hivi hivi. Kushushuana. Wao madunduka wameelewa na ikifika zamu yetu watatupa yetu. Just Relax broh...
 
Huoni wewe ndiyo uko serious sana. Sisi ni zogo la utani hivi hivi. Kushushuana. Wao madunduka wameelewa na ikifika zamu yetu watatupa yetu. Just Relax broh...
Userious hamna hapo. Watu serious wapo wanajadili vipengele vya mikataba ya bandari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…