kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
hii hapa uzuri waliohusishwa hadi leo wako kimya na klabu imekaa kimya fungu la GSM HAWA vijana wawili wanalo hadi leo watakataa hata milioni 100 ,mia za kazier chiefs wandishi wa habari wote wameifata simba huko hadi mzee wa deal SHAFFIH DAUDA?DAHMmmh Shafii Dauda ana influence gani mpk umhusishe
Alright alright sasa naweza kukubaliana na hoja yako.hii hapa uzuri waliohusishwa hadi leo wako kimya na klabu imekaa kimya fungu la GSM HAWA vijana wawili wanalo hadi leo watakataa hata milioni 100 ,mia za kazier chiefs wandishi wa habari wote wameifata simba huko hadi mzee wa deal SHAFFIH DAUDA?DAH
View attachment 1786518
balaa sana ndugu haya tuyaangalie juuu juuu tu we acha tu soo sana aiseee namba mbili na namba tatu zetu zinatembea na advance ya GSM shaffih dauda ana ushahidi halafu klabu imekausha tu kwamba yataisha juu kwa juu na jana zikaamua kuvujisha bado yanga nao kutupiga tanoAlright alright sasa naweza kukubaliana na hoja yako.
Hivi nyie ni wakina nani mpaka msifungwe,kwa hiyo unataka kutuambia nyie mkishinda ndio michezo mnayofanyaga ya kuhonga timu pinzani sio?balaa sana ndugu haya tuyaangalie juuu juuu tu we acha tu soo sana aiseee namba mbili na namba tatu zetu zinatembea na advance ya GSM shaffih dauda ana ushahidi halafu klabu imekausha tu kwamba yataisha juu kwa juu na jana zikaamua kuvujisha bado yanga nao kutupiga tano
wewe ni muhusika wa kusinya hizo pre contarct au msemaji wa li chambuzi nguli kabisa nchi hii?KWA NINI KAPOMBE NA ZIMBWE JR HADI LEO WANATEMBEA NA HELA ZA ADVANCE ZA GSM ?HUU UZI NILIWEKA HAPA LONG TIME TU KAMA MWEZI JANA UMEANZA KUONYESHA MATOKEO YAKE BADO MECHI YA UTOPOLO TUTAONA MENGIHivi nyie ni wakina nani mpaka msifungwe,kwa hiyo unataka kutuambia nyie mkishinda ndio michezo mnayofanyaga ya kuhonga timu pinzani sio?
Simba wamecheza? wamecheza nini, zile pass za kupigiana nyuma mbele nyuma mbele ndio kucheza? wapi umeona hata kum test kipa wa Kaizer au kuwazunguka beki za Kaizer.Simba hawakucheza chini ya kiwango kabisa.
Watu wengi wanachukulia Simba kutokufunga ndo wamecheza chini ya kiwango angalia ni timu ipi iliposes mpira sana kama siyo simba?...