Fact, Jana hawa wachezaji walikuwa wanacheza makilikili tu, Zimbwe katoa assist goli 1 na cha ajabu hamna beki wa simba aliyewin header mechi ya jana!hii hapa uzuri waliohusishwa hadi leo wako kimya na klabu imekaa kimya fungu la GSM HAWA vijana wawili wanalo hadi leo watakataa hata milioni 100 ,mia za kazier chiefs wandishi wa habari wote wameifata simba huko hadi mzee wa deal SHAFFIH DAUDA?DAH
View attachment 1786518
Huyo ndiyo mahondaw?Hakika walikamatika...
Ata kama ila sizan kama kwel ndio sababu mm ninachoona apa ubora wa wachezaj na ubora wa ligi umechangia wenzetu wapo makin mno kukujua udhaifu wako simba siku zote imekua sio bora ktk mipira ya fauro na kona pamoja na krosi hawana mabek na wazur ktk uzuiaj na viungo wao weng hawasidii kuja kukaba mipira ya kona na faulo na ata wakikaba mara nyng wanakabia macho mfano angalia gol la pil na la nne hiv mechi kama ile unamuachaje mchezaj pekee yake ikiwa mmeshajua wamewazd kasi na matatzo yote ya simba kuanzia bek mpka mbele yapo mpaka ktk ligi kunakosa ubora tu kuwaadhibu simba inapata shida sana kuifunga timu inayocheza total football kwa maana inashambulia wote inazuia wote ni heri kucheza na timu za kiarabu kuliko wale jamaa ,jana wameonyeshwa udhaifu wao kama watakua na akr wajifunze na kujifunza kwao sio kuwafundsha wachezaj wale watafute wengne sana sana maeneo ya bek wa kat mmoja na wa pemben mmoja kiungo mshambuliaj mmoja na namba 9 ambae lazma kiwango chake kiwe bora zaid ya mugalu boko na kagere mpra ni kaz ngum inayoitaj kipaj nguvu na maarifa kwa umr boko na kagere na viwango vyao ni huruma tu kuwabakishaSimba walikaa wiki 2 bila kucheza mechi yoyote, mwili unapunguza utimamu wake ajabu wapanga ratiba wa hapa kwetu