Simba wamefanya rotation ya wachezaji 6, na hakuna aliyelalamika

Simba wamefanya rotation ya wachezaji 6, na hakuna aliyelalamika

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Wachambuzi uchwara na mashabiki wa Simba walilamika ati Singida walipanga matokeo na wachambuzi wakaenda mbali ati TAKUKURU waingilie kati

Jana wachambuzi wakaja juu eti Yanga wamefanya rotation ya wachezaji kwakuwa ana uhakika wa kushinda Kwa kuwa GSM ni mdhamini wa Pamba Jiji.

Soma Pia: FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025


Leo Simba kafanya rotation ya wachezaji na hakuna anayejali

Hivi kama sio umbumbumbu utampagiaje coach kikosi na wachezaji wote wamesajiliwa wacheze.

markup_1000108761.png
markup_1000108760.png
 
Embu tutajie hao wachezaji ambao unashangaa kwa nini wameanza leo ili tukusaidie.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Soma list hizo
Au una tatizo la macho
List ndiyo zitaniambia nini? Kama unaogopa kutaja ni wazi umeshastukia hauna hoja.

Kulinganisha hoja ya Singida na upangaji wa leo wa kikosi cha Simba ni ishara kuna shida mahali katika medula yako.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
List ndiyo zitaniambia nini? Kama unaogopa kutaja ni wazi umeshastukia hauna hoja.

Kulinganisha hoja ya Singida na upangaji wa leo wa Simba ni ishara kuna shida mahali katika medula yako.
Sawa bibie
 
Yule chambuzi mwenye meno kama ngiri anajiita mzee wa kujamba. Nilishangaa sana post yake anasema eti Yanga wameidharau Pamba kwa kile kikosi. Lakini sijaona akisema chochote kuhusu kikosi cha Simba dhidi ya Coastal Union
 
Huwa nakuamini kuwa kichwani zimo ila huu uzi umekyvua nguo.
Singida alikuwa anacheza na timu kubwa alihitaji matokeo,Simba amecgeza na timu ndogo alukuwa na uhakika wa kyshinda.
Simba ana kikosi kipana,wa nje na wa uwanjani wote sawa,Singida je?
 
Back
Top Bottom