Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Kuweka mambo sawa ni kwamba Simba ndiyo waanzilishi wa siku ya club yao (Simba day). Yanga wakaja na Wiki ya Mwananchi ambayo inajumuisha matukio mbalimbali kwa muda wa wiki nzima nakuhitimishwa na kilele chake katika Siku ya Mwananchi (Yanga day).
Dalali alianzisha Simba day na iliadhimishwa kwa siku 1 tu. Yanga ndiyo waasisi wa Wiki ya mwananchi na Simba wakaiga ili kuboresha Simba day nawao wakaanza kuwa na ratiba ya wiki nzima kama Yanga.
Dalali alianzisha Simba day na iliadhimishwa kwa siku 1 tu. Yanga ndiyo waasisi wa Wiki ya mwananchi na Simba wakaiga ili kuboresha Simba day nawao wakaanza kuwa na ratiba ya wiki nzima kama Yanga.