sababu nagundua wabongo hampendag kufanya research kabla kuja na matamko kwa haraka haraka nilijaribu kufanya utafit tu mdogo youtube . nimekutana na video si nchini ya tatu za simba wakiadhimisha wiki yao kuelekea kilele cha siku ya simba day.. matukio yaliokuwa yanafanyika ndio yale yale ambayo yanafanyika na hizi claub kama vile usafi kuchangia dam na kutoa misaada.. sasa labda unambie walichoanzisha yanga wao ni nini.
View: https://www.youtube.com/watch?v=Mmojw3U2xoQ
jaribu kufanya reserach kabla ya kuamua kuandika vitu huna uhakika