Simba wameiga idea ya Wiki ya Mwananchi

Kwa hiyo tufanyaje? Tununue tiketi au tusubir mageti yafunguliwe?
 
sababu nagundua wabongo hampendag kufanya research kabla kuja na matamko kwa haraka haraka nilijaribu kufanya utafit tu mdogo youtube . nimekutana na video si nchini ya tatu za simba wakiadhimisha wiki yao kuelekea kilele cha siku ya simba day.. matukio yaliokuwa yanafanyika ndio yale yale ambayo yanafanyika na hizi claub kama vile usafi kuchangia dam na kutoa misaada.. sasa labda unambie walichoanzisha yanga wao ni nini.


View: https://www.youtube.com/watch?v=Mmojw3U2xoQ

jaribu kufanya reserach kabla ya kuamua kuandika vitu huna uhakika
 
Nikumbushe kitu walichoanzisha yanga simba wakaiga.
 
shida iko wapi mbona ccm wanaiga tu mengi mazuri toka kwa chadema na kuweka kwenye ilani yao
 
Nikitaka kumuelewesha hilo. Simba waliita "Day" ila shughuli zilifanyika kwa zaidi ya siku moja. Yeye anaweweseka na majina. Majina ni kama brand tu unaweza kujiita Diamond Platnumz ila haujawahi kuwa hata na single moja iliyofika gold.
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…