SIMBA WAMEJIKWAMISHA WENYEWE

SIMBA WAMEJIKWAMISHA WENYEWE

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Simba mchakato wao mzuri ila wamekwama walipokuwa wanaupeleka haraka kuna hatua wameziruka

Na inaonesha Simba walipokuwa wanabadili mfumo wao na kuwa wa hisa, walikuwa wamemlenga moja kwa moja Mo na sio wawekezaji mwingine na ndio maana wakaweka mpaka vipengele vya muwekezaji lazima awe mwanachama wa simba na amewahi kuisaidia simba. Sasa najiuliza kwa mfano Dangote au tajiri yeyote kutoka nje ya nchi akavutiwa kuwekeza kwenye timu ya simba basi atakosa hiyo nafasi kwa sababu sio mwanachama wa Simba na hajawahi kuisaidia Simba.

Simba walianza vizuri lakini haraka haraka ndio iliowaponza, walimuhitaji zaidi Mo kuliko mfumo wenyewe.

Bila kutumia akili vizuri huwezi kuona ni wapi tatizo lipo, na mchawi ataendelea kutafutwa tu mara waziri mara kilomoni mara shaffih, kumbe tatizo lipo kwengine.

Hakuna asiyependa Simba isonge mbele lakini kwenye huu mfumo wamejikwamisha wenyewe. Inabidi wakae chini waangalie wapi wamekosea na kurekebisha. Ikiwezekana wakae na Kilomoni waeleweshane na kumaliza yote. La sivyo kila mtu watamuona mbaya.

NB: FIFA haitaingilia mgogoro wowote wa Timu au Shirikisho la soka ambalo limeenda kinyume na sheria za nchi - TUNAKUMBUSHANA TU!!
 
Kama katiba inasema muwekezaji lazima awe mwanachama wa Smba kuna ubaya gani!? Hata huyo Dangote kwa mfano, kama ana nia basi itambidi naye pia awe mwanachama, then awekeze. Kuna ugumu gani kuwa mwanachama!???
 
Simba mchakato wao mzuri ila wamekwama walipokuwa wanaupeleka haraka kuna hatua wameziruka

Na inaonesha Simba walipokuwa wanabadili mfumo wao na kuwa wa hisa, walikuwa wamemlenga moja kwa moja Mo na sio wawekezaji mwingine na ndio maana wakaweka mpaka vipengele vya muwekezaji lazima awe mwanachama wa simba na amewahi kuisaidia simba. Sasa najiuliza kwa mfano Dangote au tajiri yeyote kutoka nje ya nchi akavutiwa kuwekeza kwenye timu ya simba basi atakosa hiyo nafasi kwa sababu sio mwanachama wa Simba na hajawahi kuisaidia Simba.

Simba walianza vizuri lakini haraka haraka ndio iliowaponza, walimuhitaji zaidi Mo kuliko mfumo wenyewe.

Bila kutumia akili vizuri huwezi kuona ni wapi tatizo lipo, na mchawi ataendelea kutafutwa tu mara waziri mara kilomoni mara shaffih, kumbe tatizo lipo kwengine.

Hakuna asiyependa Simba isonge mbele lakini kwenye huu mfumo wamejikwamisha wenyewe. Inabidi wakae chini waangalie wapi wamekosea na kurekebisha. Ikiwezekana wakae na Kilomoni waeleweshane na kumaliza yote. La sivyo kila mtu watamuona mbaya.

NB: FIFA haitaingilia mgogoro wowote wa Timu au Shirikisho la soka ambalo limeenda kinyume na sheria za nchi - TUNAKUMBUSHANA TU!!

Halafu simba ikae na kilomoni kama Nani?
Kwan kilomoni simba ameikodi?
 
Hayo masharti yaliyoweka SSC yako Sawa , Sisi hatutaki intruders atoke nowhere aje kuwekeza SSC ,aende kuwekeza kwenye timu nyingine kwani timu zipo nyingi
 
KiLomoni ni fara tu, zile tunaitaga jilasi maana mtu kung'ang'ania usioyaweza kwa kivuli cha maslahi ya wanachama ambao pia wanakuona mzinguaji sioni mantiki yake.

Simba iacheni iwe club huru chini ya mfumo wa hisa ili uendeshaji wake uwe wenye tija. Sasa kung'ang'ania mfumo wa kijamaa ambao ushaprove failure kitambo tu siasa nyingi kuliko maendeleo sio ishu.
 
Kuwekeza au ununuzi wa hisa, hauwezi kuwa kwa wanachama tu. Labda iwe kwenye vikoba
Kwani hao watu wengine wanaotaka kuwekeza si waende kuwekeza kwenye vilabu vingine , kama ni kweli ni wawekezaji
 
Simba mchakato wao mzuri ila wamekwama walipokuwa wanaupeleka haraka kuna hatua wameziruka

Na inaonesha Simba walipokuwa wanabadili mfumo wao na kuwa wa hisa, walikuwa wamemlenga moja kwa moja Mo na sio wawekezaji mwingine na ndio maana wakaweka mpaka vipengele vya muwekezaji lazima awe mwanachama wa simba na amewahi kuisaidia simba. Sasa najiuliza kwa mfano Dangote au tajiri yeyote kutoka nje ya nchi akavutiwa kuwekeza kwenye timu ya simba basi atakosa hiyo nafasi kwa sababu sio mwanachama wa Simba na hajawahi kuisaidia Simba.

Simba walianza vizuri lakini haraka haraka ndio iliowaponza, walimuhitaji zaidi Mo kuliko mfumo wenyewe.

Bila kutumia akili vizuri huwezi kuona ni wapi tatizo lipo, na mchawi ataendelea kutafutwa tu mara waziri mara kilomoni mara shaffih, kumbe tatizo lipo kwengine.

Hakuna asiyependa Simba isonge mbele lakini kwenye huu mfumo wamejikwamisha wenyewe. Inabidi wakae chini waangalie wapi wamekosea na kurekebisha. Ikiwezekana wakae na Kilomoni waeleweshane na kumaliza yote. La sivyo kila mtu watamuona mbaya.

NB: FIFA haitaingilia mgogoro wowote wa Timu au Shirikisho la soka ambalo limeenda kinyume na sheria za nchi - TUNAKUMBUSHANA TU!!
Hebu tuwekee sheria ipi ya nchi imerukwa
 
Back
Top Bottom