Simba wamejipanga vipi endapo Mo akisitisha uwekezaji?

Simba wamejipanga vipi endapo Mo akisitisha uwekezaji?

Amaizing Mimi

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
489
Reaction score
1,102
Klabu yangu pendwa ya SSC kwa sasa ipo chini ya mwekezaji Mo ingawa yeye ana hisa asilimia 49 na wanachama hisa zao ni 51.

Kwa mtazamo wangu naona asilimia 41 za mo zina nguvu kuliko za wanachama na ndio maana anaangaliwa zaidi Mo kuliko wanachama.

Je, ni kwa vp klabu ya simba itaendeleza kutimiza mahitaji ya wachezaji hawa ambao wanalipwa mamilioni pasipo uwepo wa Mo?

Ikumbukwe upande wa pili (utopolo) walisumbua sana walipokuwa na manji lakini baada ya manji kuondoka sasa hivi hawana tofauti na lipuli maana wanategemea hizani za watu wenze mapenzi na timu.

SSC wana mkakati gani wa kuendelea kuwa timu bora?

Kumbuka pia Mo ni binadamu siku yoyote anaweza kuitwa na Muumba wake.
 
Mo anafaham fika kua Simba ikiwa na uwezo wa kujitegemea hatopata nafasi ya kuchuma fedha kiurahisi.

Mo anafaham kabisa endapo angeweka 20b mezani toka kipindi kile Simba wangekua na hata 35-40b mpaka sasa hivyo kumweka kwenye riski ya kutoivuna Simba.

Kiufupi Mo anataka Simba iwe tegemezi kwake na kumtetemekea siku zote maana mpaka sasa Mo ana hela Simba wana jina tu. Mo akisepa Simba watarudi kama Yanga tu.
 
Dah, hizi dharau! Yanga sawa na Lipuli? By the way mlishalipa Kaduguda hela elfu5 yake ya chapati aliwanunulia wachezaji wakiwa kambini mwaka 2005?
 
Yanga mmeshafikia hatua ya kuombea Mo afe ili Simba waporomoke?

Sikuwahi kufikiri kuwa mna hali ngumu hivyo dhidi ya Simba.
Mimi sio yanga mkuu.jaribu kurejea comment zangu za nyuma kwenye nyuzi mbalimbali za sports
 
Klabu yangu pendwa ya SSC kwa sasa ipo chini ya mwekezaji Mo ingawa yeye ana hisa asilimia 49 na wanachama hisa zao ni 51.

Kwa mtazamo wangu naona asilimia 41 za mo zina nguvu kuliko za wanachama na ndio maana anaangaliwa zaidi Mo kuliko wanachama.

Je, ni kwa vp klabu ya simba itaendeleza kutimiza mahitaji ya wachezaji hawa ambao wanalipwa mamilioni pasipo uwepo wa mo?

Ikumbukwe upande wa pili (utopolo) walisumbua sana walipokuwa na manji lakini baada ya manji kuondoka sasa hivi hawana tofauti na lipuli maana wanategemea hizani za watu wenze mapenzi na timu.

SSC wana mkakati gani wa kuendelea kuwa timu bora?

Kumbuka pia Mo ni binadamu siku yoyote anaweza kuitwa na Muumba wake.
Acha muumba akimchukua,nasharti tu ya fcc akishindwa je
 
Kama mwandiko wa mtu huyo huyo alieanzisha hii thread.
Da Bro

hebu weka walau maujuzi simba wangekuwa wamefikisha vipi 35b-40b... kama Mo angekuwa ameweka ile 20b.

maana kila nikiwaza simba na yanga... nashindwa pata picha nje ya kina Mo na wengine wa aina yake... sijaona mtu wa kuizalisha hata 1m more kutoka kwenye 100b achilia mbali hiyo 20b

ukiona haya mafanikio ya simba pale ujue kuna finance control, and strong management.... simba they might still be far kwenye football success ila trust me kwenye issue ya management and commercially they made a very big step. na huko ndiko kunatakiwa kuwe strong ili uwanjan kuweze kufanikiwa.

and trust me sio Simba tu hata yanga hakuna mtu pale atakebadilisha hizi club unless aje business-minded person ambaye financial yuko strong ili asisumbuliwe na wanaojiita wenye timu. maana ukiwa na mawazo ya maendeleo kwenye hizi club na huna pesa humalizi mwaka pale.
 
Kwanza tunataka kumpa kwa bei poa mazima ili tuendelee kula raha,cha msingi asibadilishe jina tu,akifanya hivyo tu kany.aa
 
Ukweli ambao ute hawapendi usikia
 
Haya yanayoendelea yanatutosha wana Simba, hizo 20b aendelee tu kukaa nazo sisi za nini sasa hizo 20b? Kama group stage CL Afrika tumo,As Vita hana hamu na sisi tumemtandika kwao,...Utopolo tulishambamiza 4-1 na siku hizi Uto wakiambulia sare basi shangwe mji mzima.....! Hizo 20b zinawakereketa nini nyie Utopolo...!
 
Back
Top Bottom