Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
Klabu yangu pendwa ya SSC kwa sasa ipo chini ya mwekezaji Mo ingawa yeye ana hisa asilimia 49 na wanachama hisa zao ni 51.
Kwa mtazamo wangu naona asilimia 41 za mo zina nguvu kuliko za wanachama na ndio maana anaangaliwa zaidi Mo kuliko wanachama.
Je, ni kwa vp klabu ya simba itaendeleza kutimiza mahitaji ya wachezaji hawa ambao wanalipwa mamilioni pasipo uwepo wa Mo?
Ikumbukwe upande wa pili (utopolo) walisumbua sana walipokuwa na manji lakini baada ya manji kuondoka sasa hivi hawana tofauti na lipuli maana wanategemea hizani za watu wenze mapenzi na timu.
SSC wana mkakati gani wa kuendelea kuwa timu bora?
Kumbuka pia Mo ni binadamu siku yoyote anaweza kuitwa na Muumba wake.