Simba wamekosa ustaarabu na ubinadamu, Points 3 kwa goli moja au mawili yalitosha kwa kuonyesha kuguswa na ajali ya Dodoma Jiji

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145


Kwa club kubwa kama Simba Sports Club sikutegemea wao kufanya hiki walichofanya, wamechukulia ajali ya dodoma jiji kama Advantage ya kufunga goli nyingi, shida walizopata Dodoma jiji wameona ni fursa ya kushine, wameingiza kikosi chenye booster za kutosha, Walipania !!

Dodoma jiji walipata ajali mbaya mwezi uliopita, bado kuna wachezaji kisaikolojia hawajakaa sawa pamoja na fitness, kwa kuyatilia maanani waliyopitia wenzao, Simba ilibidi icheze kiungwana, points 3 kwa goli moja au mawili yalitosha.
 
Sio sheria inayowalazima Simba lakini ni jambo la kiungwana tu
 
Mipoyoyo imewagomea wenzao wasifanye mazoezi halafu leo inawapangia idadi ya magoli ya kumfunga mpinzani wake

Fumbap kabisa
 
Nacheka kimwiko nyuma
 

Attachments

  • FB_IMG_17419755205951426.jpg
    216 KB · Views: 1
Vitani hakuna adui mtoto. Hakuna adui kilema.

Unapoingia kwenye mfumo utauawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…