round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Kwa club kubwa kama Simba Sports Club sikutegemea wao kufanya hiki walichofanya, wamechukulia ajali ya dodoma jiji kama Advantage ya kufunga goli nyingi, shida walizopata Dodoma jiji wameona ni fursa ya kushine, wameingiza kikosi chenye booster za kutosha, Walipania !!
Dodoma jiji walipata ajali mbaya mwezi uliopita, bado kuna wachezaji kisaikolojia hawajakaa sawa pamoja na fitness, kwa kuyatilia maanani waliyopitia wenzao, Simba ilibidi icheze kiungwana, points 3 kwa goli moja au mawili yalitosha.