Simba wamekumbuka mbachao kwa msaala uliopita

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2020
Posts
2,946
Reaction score
2,932
Ni TaBia za timu zetu kuwasajiri wachezaji kisha kuwaweka bench na hii inatokana na vita isiyokkuwa na maana eti akienda au akibaki timu fulani hiyo timu itatufunga au itaperform vizuri.

Tabia hii hasa kwa vilabu kongwe Simba na Yanga. Simba iliona kumuacha Ajib Ibrahim yanga, ni kosa kwao wakamsajiri lakini mechi zake alichezea bench

WAMEKUMBUKA MBACHAO KWA MSAALA ULIOPITA, CHAMA NA MIQUISON.

Na hii baada ya Ku struggle sana,Leo Ajib mtamu baada ya kuisaidia timu dk za refa kuipatia simba ushindi.

KUBALINI UDHAIFU ILI MFANYE MAREKEBISHO.



Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Watakuja kukuua Makolo FC kwa koment

Kifupi wamejua kumuonea ibra,yaani wanakuja kumuamini kipindi hiki timu ambacho timu bovu na msimu uliopita wakati wanapiga biriani lao plus sambusa walimsahau kabisa kadabra wa watu,leo timu mbov ndo wanataka kumuachia Ajibu[emoji24]
 
Ngoja tujipoze kidogo, hata kule majuu mambo huwa yanabadilika pia.
======================
Should Man City be worried about Kevin De Bruyne's form? [emoji32]

It’s November, and the Belgian wizard has ONE assist to his name this season [emoji3516]

Injuries have played a part. De Bruyne has only completed 90 minutes once in the Premier League this season, and last season ended with heartbreak and pain for club and country [emoji174]

It’s clear things aren’t quite right. Last time out against Crystal Palace, City were 2-0 down looking for a creative spark - and Pep Guardiola took De Bruyne OFF. That doesn’t happen very often [emoji51]

“In an entire career you cannot perform incredibly well all the time,” Pep said. “There are highs and lows, and he knows better than anyone else that he can do better.” [emoji123]

De Bruyne is the best creative player in the Premier League. Since he arrived, nobody has created more big chances than him, and nobody has more assists. No...
 
Kolo fc saiv wanaimba FREE COMPETITION🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kweli nyani haoni kundule .

Mbona Yanga timu ikiwa bovu wanamchezesha kaseke ,ikiwa nzuri wanamweka benchi
 
Ndio raha ya kuwa na wachezaji wengi.
 
Kolo fc saiv wanaimba FREE COMPETITION[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kitaeleweka tu, na hizo milioni 300 alizotenga GSM kununua mechi za simba.

Hela za wachezaji wa coastal Union laki mbili kila mchezaji mmeshalipa?

Hakuna siri chini ya jua.



Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kitaeleweka tu, na hizo milioni 300 alizotenga GSM kununua mechi za simba.

Hela za wachezaji wa coastal Union laki mbili kila mchezaji mmeshalipa?

Hakuna siri chini ya jua.



Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Na nyie tuliwanunua kwenye ngao ya hisani? Na ile mechi ya Galaxy nayo tuliinunua? Muwe wavumilivu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…