nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Ni TaBia za timu zetu kuwasajiri wachezaji kisha kuwaweka bench na hii inatokana na vita isiyokkuwa na maana eti akienda au akibaki timu fulani hiyo timu itatufunga au itaperform vizuri.
Tabia hii hasa kwa vilabu kongwe Simba na Yanga. Simba iliona kumuacha Ajib Ibrahim yanga, ni kosa kwao wakamsajiri lakini mechi zake alichezea bench
WAMEKUMBUKA MBACHAO KWA MSAALA ULIOPITA, CHAMA NA MIQUISON.
Na hii baada ya Ku struggle sana,Leo Ajib mtamu baada ya kuisaidia timu dk za refa kuipatia simba ushindi.
KUBALINI UDHAIFU ILI MFANYE MAREKEBISHO.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app