Kuchekana nasi Utopolo hapana usijifaariji Mkuu! Nyie kufeni kivyenu sisi UTOPOLO tunajua tutashinda!Ni swala la muda tu tutakuwa tunachekana wote humu.
Labda wewe tu ndo ulikua huoni madhaifu ya Simba fwatilia nyuzi za humu nyingi watu wanaongea madhaifu ya Simba lakini mnajifanyaga hamuoni mnakimbilia kujadili mikataba ya Feisal na SportpesaRobo tatu ya wachezaji wa Simba including Manula hawastahili kuwepo/kucheza Simba. Hata ungemleta Klopp, Mourinho, Guardiola wote hao wakae pale benchi kwa wachezaji waliopo Simba hii, wallahi hawatoboi.
Ni vile ligi yetu nayo ni ya kimagumshi sana...ndo maana tumesubiri Raja aje atuoneshe panapovuja
Sawa, acha tusubiri muda wa ngoma enyewe.mambo murua kabisa Jiji lote kimyaaaa kahawa zetu zinashuka taratibu kweli ni Raha mustarehe Kwa utopolo sote!
Nafasi haipo usipende kujipa moyo kwa vitu vilivyo wazi kabisaBado Simba ana nafasi ya kwenda robo fainali, waliobaki tunawamudu tushindwe wenyewe.
Sawa mkuu ngoja tuone badae itakavyokua maana hawa jamaa nimapachaAsubuhi ya leo, Feb 19, 2023 Mashabiki wa Simba, mashabiki wa hovyo kuwahi kutokea Duniani, mashabiki jeuri, wajivuni!
Mashabiki wanaojua kuvimba kwa sifa wasizokuwa nazo pale litimu lao bovu linapobahatisha kushinda uwanja wa nyumbani kiuchawi uchawi....
Wamekuwa wadogoo!!Wangeshinda, ungeona wakivamia ukurasa wa CAFCLCC na wa Raja kwa kuongea maneno ya ovyo. Ila saivi CAFCLCC wamewekwa highlight na matokeo kumekuwa kimya kumetulia.
Raja ametusaidia kwakweli..Robo tatu ya wachezaji wa Simba including Manula hawastahili kuwepo/kucheza Simba......
Hata ungemleta Klopp, Mourinho, Guardiola wote hao wakae pale benchi kwa wachezaji waliopo Simba hii, wallahi hawatoboi....
Ni vile ligi yetu nayo ni ya kimagumshi sana...ndo maana tumesubiri Raja aje atuoneshe panapovuja
Chief, hakuna mahali nimesema Simba Haina madhaifu...yapo yanajulikana na kama unavosema yamejadiliwa sana ila Viongozi nao ni sehem ya madhaifu pia. Ndiyoo maana walishindwa kumsajili Manzoki ila wakamleta kwenye uchaguzi....upumbavu wa kiwango Cha juu sanaLabda wewe tu ndo ulikua huoni madhaifu ya Simba fwatilia nyuzi za humu nyingi watu wanaongea madhaifu ya Simba lakini mnajifanyaga hamuoni mnakimbilia kujadili mikataba ya Feisal na Sportpesa
Masikini Kijana vunjaprice, yale matambara aliyoagiza itabidi ayauze kwa bei ya sagura sagura!!Kuchekana hapana usijifaariji, Nyie kufeni kivyenu sisi UTO tunajua tutashinda! Mavuvuzela yenu sijui eeeh kidedeaaaa hamna! Vijana wanasimba bodaboda Wote kimyaaaa!! majezi ya Simba mitaani leo hamna, mambo murua kabisa Jiji lote kimyaaaa kahawa zetu zinashuka taratibu kweli ni Raha mustarehe Kwa utopolo sote!