Simba wamekuwa wapole, na adabu juu!

Simba wamekuwa wapole, na adabu juu!

Kuchekana nasi Utopolo hapana usijifaariji Mkuu! Nyie kufeni kivyenu sisi UTOPOLO tunajua tutashinda!

Raja watu WABAD sana wamefumua mshono wa Horoya kama tulivyotarajia maana Simba ishakuwa Paka siku hizi!! Umri wa kocha na umri za wachezaji kina Babu Onyango zimepishana two years tu!!

Mavuvuzela yenu kelele kibao mitaani mkishinda huwa mnatuamshia vichanga vyetu sijui eeeh kidedeaaaa wengine Wana mizuka wanaitikia kwa nguvu eeh kidedeaaaa leo mavuvuzela hamna! Wote kimyaaaa!

Vijana wanasimba bodaboda kelele kibao honi mji mzima Fujo kama zote sifa kibao mikogo na mbwembwe za kuendesha boda boda kwa tairi moja la nyuma , Wote kimyaaaa!! majezi ya Simba yamekuwa mazito mitaani leo hamna, wote kimyaaaa!

Vijana wanasimba Leo wanatusalimia wazee kwa heshima wanasema Mzee habari za Jumapili, vipi familia hawajambo wote , sie tupo tu Mzee! Jana wangeshinda adabu zingekuwa kabatini asubuhi bila salamu wangesema "Mzee uliona Jana Pira Biriani? Mi Huwa nakwambia Chama JR ni sawa na timu yenu nzima ya Utopolo!!" Wangeuliza hivi Mzee huko utopoloni wote hamjitambui ama sivyo!

mambo murua kabisa Jiji lote kimyaaaa kahawa zetu zinashuka taratibu kweli ni Raha mustarehe Kwa utopolo sote!
Yanga anacheza kombe la walioshindwa club bingwa (Shirikisho)
Simba anacheza club bingwa Afrika.
Kati ya club bingwa na shirikisho lipi ni kubwa?
Mnacheza losers' cup halafu bado mnajiona bora? Yanga alikuwa club bingwa kwanini yupo shirikisho?
 
Yanga anacheza losers' cup a.k.a shirikisho.
Simba anacheza club bingwa a.k.a club bingwa.
Unafikiri kati ya Yanga na Simba yupi ni bora?
Yanga ilikuwa club bingwa. Kwanini anacheza shirikisho?
 
Yanga anacheza losers' cup a.k.a shirikisho.
Simba anacheza club bingwa a.k.a club bingwa.
Unafikiri kati ya Yanga na Simba yupi ni bora?
Yanga ilikuwa club bingwa. Kwanini anacheza shirikisho?
Hii ndio njia mliyobakiwa nayo kutuliza maumivu,ngoja kwenye kundi lako uwe kilaza urudi NBC ndio utaelewa shirikisho ni losers au laah
 
Yanga anacheza kombe la walioshindwa club bingwa (Shirikisho)
Simba anacheza club bingwa Afrika.
Kati ya club bingwa na shirikisho lipi ni kubwa?
Mnacheza losers' cup halafu bado mnajiona bora? Yanga alikuwa club bingwa kwanini yupo shirikisho?
Tunachojari sisi nyinyi kuchezea kichapo hakuna Cha kushiriki michuano gani wala nini
 
Yanga anacheza kombe la walioshindwa club bingwa (Shirikisho)
Simba anacheza club bingwa Afrika.
Kati ya club bingwa na shirikisho lipi ni kubwa?m
Mnacheza losers' cup halafu bado mnajiona bora? Yanga alikuwa club bingwa kwanini yupo shirikisho?
Ushindi wa Yanga umekuchoma sana pole sana kaka! Ujue Sisi Mpira tunaweza! Usisahau we are unbeaten team!
Nyie mko club bingwa mnashika mkia hamna goli wala point hata moja Mmepigwa home and away mmetia aibu sana taifa. Yanga imezoa tsh 15m Nyie ZERO fc mnatia huruma. Simba kaelekezwa kibla anachinjwa ila Bado ananguruma tu!
 
Wala haujanichoma. Nimefurahi sana kushinda. Ila kumbuka mnacheza losers cup kwahiyo Simba bado ni bora kwa Yanga.
Ni sawa na mtu mpo wote darasa la 4, akafeli akarudi darasa la 1 akashika namba 1 akaanza kumcheka aliyebaki darasa la 4 kwa kuwa namba ya mwisho kwenye mtihani.
Yanga si alikuwa club bingwa? Ilikuwaje acheze losers cup wakati ni bora?
 
Leo hutopata usingizi umeumia sana moyoni ila ndo hivyo Tena ZERO fc hamtopata mnachotaka! Yanga hatupigwi kama Ngoma home and away kama ZERO aka Zuwena aka Makolo fc! ( Zero fc sababu hamna point Wala goli club bingwa mnasindikiza wanaume tu Raja Casablanca na Horoya)

Kama Al Hilal wangekubali tucheze Mpira na si kujiangusha dakika 60 nzima Leo hii tungecheza club bingwa ila tunajua hawafiki popote na hawatuwezi
 
Tunachojari sisi nyinyi kuchezea kichapo hakuna Cha kushiriki michuano gani wala nini
Yanga ilikuwa club bingwa. Baadae mkatuacha mkacheza losers' cup.
Unajua muziki wa club bingwa lakini?
Hapa ni sawa na mtu ambaye mpo wote darasa la 4. Mtihani wa kwanza mimi nikafaulu na wewe ukafeli ukarudi darasa la 1. Mtihani wa pili wa darasa 4 nikafeli, wewe na huko darasa la kwanza ukawa nafasi ya kwanza. Ukaanza kunicheka.
Hapo kati ya mimi na wewe yupi ni bora?
Hongereni kwa ushindi wa kwenye losers' cup. Nawaombeeni mchukue kombe la timu zilizoshindwa club bingwa
 
Leo hutopata usingizi umeumia sana moyoni ila ndo hivyo Tena ZERO fc hamtopata mnachotaka! Yanga hatupigwi kama Ngoma home and away kama ZERO aka Zuwena aka Makolo fc! ( Zero fc sababu hamna point Wala goli club bingwa mnasindikiza wanaume tu Raja Casablanca)

Kama Al Hilal wangekubali tucheze Mpira na si kujiangusha dakika 60 nzima Leo hii tungecheza club bingwa ila tunajua hawafiki popote na hawatuwezi
Ha ha ha ha Al hilal imefanyaje? Hiyo ndiyo club bingwa. Washindi ndiyo wapo huko.
Nishindwe kulala kwa sababu Yanga imeshinda kwenye timu zilizoshindwa kucheza club bingwa?
Nimefurahi sana kushinda leo. Yaani ushindwe kwenye kombe la washindi hata la losers' cup ushindwe si itakuwa maajabu sana.
Yanga haina uwezo wa kucheza club bingwa. Ana uwezo wa kucheza losers cup ( shirikisho).
 
Yanga anacheza losers' cup a.k.a shirikisho.
Simba anacheza club bingwa a.k.a club bingwa.
Unafikiri kati ya Yanga na Simba yupi ni bora?
Yanga ilikuwa club bingwa. Kwanini anacheza shirikisho?
Vipi sasa uonavyo kweli mikia kuwa club bingwa ni sahihi? Au mmeonewa kupelekwa huko?. Hapo sawa na simba Quinn's kupelekwa kucheza na simba mikia dume
 
Vipi sasa uonavyo kweli mikia kuwa club bingwa ni sahihi? Au mmeonewa kupelekwa huko?. Hapo sawa na simba Quinn's kupelekwa kucheza na simba mikia dume
Club bingwa wanacheza wenye uwezo tu. Km hauna uwezo huwezi kucheza huko utaenda shirikisho (walioshindwa club bingwa).
Club bingwa ni habari nyingine kadri unavyosonga mbele ndivyo gemu inavyozidi kuwa ngumu. Waulize Yanga watakujibu kati ya club bingwa na shirikisho ipi ni rahisi?
Sawa Utopolo
 
Ndio maana nakuuliza wewe ni halali nyie mikia kuwepo hapo mnabondwa kama hivyo?
 
Ndio maana nakuuliza wewe ni halali nyie mikia kuwepo hapo mnabondwa kama hivyo?
Tupo halali utopolo. Kwenye club bingwa hakuna free tiketi. Ni uwezo wako.
Mechi ya kwanza kwenye loosers' cup mlishinda?
 
Club bingwa wanacheza wenye uwezo tu. Km hauna uwezo huwezi kucheza huko utaenda shirikisho (walioshindwa club bingwa).
Club bingwa ni habari nyingine kadri unavyosonga mbele ndivyo gemu inavyozidi kuwa ngumu. Waulize Yanga watakujibu kati ya club bingwa na shirikisho ipi ni rahisi?
Sawa Utopolo

Kama shirikisho ni kombe la wasio na uwezo, kilichowafanya msibebe kombe msimu uliopita ni kitu gani? Au hujui kama mlicheza shirikisho na kuishia njiani
 
Robo tatu ya wachezaji wa Simba including Manula hawastahili kuwepo/kucheza Simba......
Hata ungemleta Klopp, Mourinho, Guardiola wote hao wakae pale benchi kwa wachezaji waliopo Simba hii, wallahi hawatoboi....

Ni vile ligi yetu nayo ni ya kimagumshi sana...ndo maana tumesubiri Raja aje atuoneshe panapovuja
Makosa ya Manura yamekuwa ya kujirudia rudia sana

Tatizo la Simba wanashindwa achana na wachezaji kwa kuogopa wachezaji hao wataenda timu pinzani.

Hilo swala linasababisha timu inakuwa na wagebill kubwa sana wakati wangeweza achana na wachezaji kadhaa wakasajili wengine .ie

Bocco
Manura
Onyango
Inonga
Kenedi
Outtara
Huseni
Kibu
Akpan

Hao wote hawapaswi kuwa kwenye hii timu
 
Masikini Kijana vunjaprice, yale matambara aliyoagiza itabidi ayauze kwa bei ya sagura sagura!!
Yawezekana akauza endapo atakuwa katengeneza pcs chini ya 100,000
Au yawezekana asizilete kabisa
 
Back
Top Bottom