- Source #1
- View Source #1
- Tunachokijua
- Kuanzia Tarehe 26, 2026 kumekuwa na Taarifa kwa umma yenye utambulisho wa klabu ya Simba ikieleza kuwa imemfuta kazi meneja habari wake, Ahmed Ally kwa kufanya kazi kwa kipindi chote bila mafanikio.
Aidha inaeleza kuwa uongozi wa Simba unawataka mashabiki wake wasitarajie kupata ubingwa labda mchejzi wa Yanga Okello apate majeraha.
Uhalisa wa Taarifa hiyo
JamiiCheck imefuatilia na kujirirdhisha kuwa taarifa hiyo si ya kweli na ina lengo la kejeli na mzaha.
unaweza kubaini taarifa zisizo rasmi kwa kuzingatia
• Lugha kutumika kwa namna isiyo ya kitaalamu kwa taarifa rasmi
• Matumizi ya maneno ya kubeza na kejeli ambayo mara nyingi hayatumiki kwenye taarifa rasmi
• Taarifa kutokuwepo kwenye kurasa rasmi za taasisi husika