Simba wamenikumbusha miaka saba iliyopita

Kwanini ukumbuke mwaka 2014 wakati mwaka juzi tu 2019 ilitokea..
 
Mimi na declare interest, Mimi Ni mwanachama na shabiki wa Yanga sc. Nawashauri wanayanga wenzangu tuache huu udhaifu wa kujificha kwenye historian na ndipo tutaweza kufika tunapopataka ambapo wenzetu Simba naona wanaelekea huko, tuache maneno mengi tuonyeshe vitendo Kama wenzetu Simba sc wanavyofanya, tofauti na hapo tutaendelea kujifariji na historia ambayo hata hivyo haitusaidii kwa lolote.

Tutumie muda vizuri, tunaweza, Kama wenzetu wanaweza kwa nini sisi tusiweze? Mwisho; Kudos Simba sc hakika njia mnatuonyesha, na hivi hivi mtaandika historia nyingine ya kutukuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…