Simba Wameongeza Squad Depth, Ila Hawajaboresha Squad Quality

Simba Wameongeza Squad Depth, Ila Hawajaboresha Squad Quality

Chama ni AM
Attacking midfielder sawa?

Team inacheza hivi
Kanoute as a DM
Ngoma as a CM
Chama as AM
Miqquisone as AM
Saido as AM na CF mmoja

Mimi sio mchambuzi ila leo wale watatu wa pale juu walikua wanafree roam hasa hasa Chama na saido atleast onana ndo alikaa upande mmoja

Mwanaume bora usiangalie mpira ijulikane kuliko uangalie mpira afu utoe mashudu kama haya
Cheza basi hata fifa

Kwahyo che malone unaona sio improvement
F ngoma je?
Onana je?
Basi kijana lala mpira hukufai
Khaaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Umenichekesha.

Kwenye modern football hakunaga tena CM. Its either DM or AM.
 
ChaGOAT katika ubora wako, mzee punguza moto wali uive
 
Back
Top Bottom