Simba wamesahau mchezo wao na kuwalenga Yanga na Al Ahly tu. Kesho watarudi na "Try Mangungu aondoke!"

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Club ya Simba ni moja kati ya Klabu inayopenda sifa za hovyo na za kipropaganda, kesho Jumamosi Simba inaenda kunyolewa huko ugenini na Galaxy, halafu kesho mashabiki wa mihemko wa Simba kama kawaida yao watarudi kwenye Media na kuanza kusema Mangungu aondoke, Try Again, Saido, Chama, Kapombe Mzee, Ngoma tumepigwa, Kosha mpya hatoshei.

Wao siku ya leo Simba wameamua kuwekeza nguvu zao juu ya mambo haya;

1. AL Ahly wamesema Simba ni kubwa Tanzania kuliko Yanga
2. Rais wa FIFA kasema Simba inacheza mpira mzuri kuliko Mamelod na Al Ahly
3. Kocha wao mpya ni kocha wa makombe na Yanga wanamjua, na ameshazifunga AL Ahly na Yanga
4. Yanga Taifa anaenda kupigwa nyingi na Al Ahly

Hizo zote hapo juu ni Propaganda, sasa nyie acheni kudeal na timu yenu, endeleeni kuaingalia Yanga, badala mumuulize Mo ni lini ataleta bilioni 20 za hisa.
 
Ngoja kwanza, yaani unataka kuniambia.

1. Benchika na benchi lake la ufundi wanaacha kuplan kuwafunga jwanang bali wanawashabikia ahly.

2. Kwamba wachezaji wameacha kufanya mazoezi ila muda woote wanafatilia jinsi ahly aakavoibamiza utopolo.

3. Ndio kusema viongozi hawajali tena kuweka mazingira sawa huko gaboloni isipokuwa wapo eapoti kuwapa mbinu alhly jinsi ya kuepuka uchawi wa utopolo.

4. Kumbe unamaanisha mashabiki wa mnyama wamekata tiketi zoote za mzunguko ili waende kuwashabikia alhly atakapozidi kuukandamizia mwiko utopolo kule nyuma.

KAMA NDIO IVKWELI SIMBA HAMNAZO ILA KAMA HAIE UTOPOLO NI WAWILI TUU.
 
Acha propaganda uchwara bhana....Simba inasumbukia mambo yake yanayoihusu.
 
Akikujibu nitag
 
Kwani mashabiki wa simba wanacheza namba ngapi?
 
Simba wako zao sauzi hawana habari na huu utopolo wenu
 
Kwa game za leo na kesho champions leagu75% away timu zinashinda
 
Kwani wewe hukumuelewa Rage alivosema ni mbumbumbu?
Hapa wamesahau kama walipigwa 5
Wamesahau wana uongozi mbovu
Wamesahau jezi zao zimejaa mo extra majezi mabaya no ubunifu
Team yao inabutua kama ipo umitashumita
Namsihi mo apige hela za mbumbumbu
Waache kesho tukimpiga ahly 2 bila na wao wakapigwa 5 na Makirikiri kilio chote kwa Mangungu
 
Hivi umeona shabiki yeyote wa Simba kaenda kupokea waarabu? Hao unajifanya umesahau tabia zenu
 
Kama ni kweli haitakuwa ajabu. Hersi na utopolo wengi walikuwa wanavaa jezi za wapinzani wa Simba na kuwapokea airport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…