Simba wameset standards, mipango makini!

hongereni kwa kutimiza malengo yenu ya msimu,robo fainali kimataifa na kumfunga yanga hakika tunawaonea donge coz sisi malengo yetu ya kutetea vikombe tulivyoshinda msimu uliopita na kuleta kombe la kimataifa kwa mara kwanza ktk taifa hili dabo hayajatimia...HONGERA MTANI
 
Kibuu Dee apewe ulinziiii.

Inongaaa popote ulipooo, kabla hujahama Bongo fanyaa uache Mbegu hapaa

[emoji881][emoji881][emoji881]
Kumbe Mnajua, ili kizazi kiendelee ni lazima mtu mwanamke na Mwanaume wakutane kimwili.


Ila mnajitoa ufaham Kila kukicha, Mnachochea masuala ya Ushoga humu .


Sasa hiyo mbegu ,ataiachaje ,ikiwa unataka Kib Dee Nawewe mlane ???.
 
Kwasasa Yanga imefanikiwa kwakua Mtani hafikirii tena Mataji, Simba imewekwa kwenye position ya kufikiria namna ya kupata matokeo Kwa Yanga na kushangilia position Yao kwenye rank za CAF.
Wakati huo Yanga inaendelea kutia nguvu katika kusaka Taji la kwanza la Caf.
Uku Simba anakaa akisubiri miaka kadhaa kutwaa kombe lake la kumfunga Yanga.

Maana Malengo yametofautiana kulingana na viongozi waliopo kwasasa.
Wengine Mkutano wao mkuu Moja ya ajenda ni kumfunga Yanga wakati Yanga kwao iyo si ajenda tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…