Wakati anaajiriwa alipewa malengo ya timu, ngoja nikupe kwa harakaharaka malengo mawili halafu use me kama afukuzwe ama abaki, 1: KUCHUKUA UBINGWA WA LIGI KUU BARA 2: KUINGIA HATUA YA MAKUNDI KLABU BINGWA AFRIKA, sasa kipi hajatimiza ili afukuzwe?

Timu haichezi vizuri na kwa ushindani
Viwango vya wachezaji vimeshuka, hana uwezo wa kubadili formation kulingana na mazingira. Hilo litapelekea kukosa ubingwa.