Simba wamjibu Kocha Dan Cadena.

Simba wamjibu Kocha Dan Cadena.

Wakati timu nyingine za ligi kuu zikiwa bize na usajili kuelekea msimu ujao,huko ukoloni kwa sasa hivi ni piga nikupige. Acha inyeshe tujue panapovuja.
Huyo kocha sio chizi akurupuke tu na kusema hivyo,hicho ndio kinacho endelea na ndio maana timu haifanyi vizuri,mnasajiri magarasa na kucheza hayachezeshwi mnatutia hasira tu mashabiki.
 
Back
Top Bottom