Simba wamtangaza CEO mpya, mrithi wa Imani Kajula

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Screenshot_20240726-113103_1.jpg

Screenshot_20240726-113106_1.jpg
Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imemteua Raia wa Rwanda, Uwayezu Francois Regis kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu hiyo kuanzia Agosti 1, 2024 baada ya Mkurugenzi aliyekuwepo, Imani Kajula kujiuzulu miezi michache iliyopita

UwayezuFrancoisRegis amewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Soka la Rwanda kwa zaidi ya miaka mitatu, Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya APR. Pia ni Mwanachama Mwanzilishi wa Chama cha Makocha wa Soka Rwanda na Mratibu Mkuu wa CAF

PIA SOMA
- Imani Kajula aomba kuachia ngazi ya Mtendaji Mkuu (CEO) Simba. Je, ni dalili ya kurejea kwa Barbara Gonzalez?
 
View attachment 3052621
View attachment 3052622

Marekebisho sio Mkurugenzi Mtendaji bali ni Afisa Mtendaji Mkuu au Mtendaji Mkuu (Chief Executive Oficcer).
 
I'm disappointed, was expecting Babra to return to the office ili awanyooshe wapiga dili simba
Hakuna Proffesional yeyote ambaye anaresign halafu baadaye arudi tena hapohapo.

Barbara ana cv ya kufanyakazi popote duniani sasa aje kupigiza kelele waswahili?

Kwanza muulize Barbara pesa mliyochanganya ujenzi wa uwanja iko wapi?
 
English kidogo tu umepoteana
Daah! Kuna haja ya kucomment kwa voice note jamani!
Nmeuliza kutaka tu kuelewa mana unaskia CEO fulani CEO fulani unakua huelewi system ikoje, sasa katika kutaka kuelewesha unaomba kueleweshwa na mtu ambae unahisi anafahamu akufungue macho anaanza kukuzodoa!! Aisee!
Basi mkuu ntaeleweshwa siku ingine na mtu mwingine
 
Hakuna cha voice note, tikisa kichwa tu. Haiwezekani kila anayekuelewesha huelewi. Hiyo siku nyingine jitahidi kujieleza vizuri utajibiwa vizuri
 
Daah! Kuna haja ya kucomment kwa voice note jamani!
Nmeuliza kutaka tu kuelewa mana unaskia CEO fulani CEO fulani unakua huelewi system ikoje, sasa katika kutaka kuelewesha unaomba kueleweshwa na mtu ambae unahisi anafahamu akufungue macho anaanza kukuzodoa!! Aisee!
Basi mkuu ntaeleweshwa siku ingine na mtu mwingine
Mungu atakulipia
 
Back
Top Bottom