Simba wamtangaza CEO mpya, mrithi wa Imani Kajula

Simba wamtangaza CEO mpya, mrithi wa Imani Kajula

Nijibu swali langu mana sielewagi
Simba ina CEO mmoja tu na ndio huyo aliyetambulishwa, aliyekuwa CEO kabla ya huyo amemaliza muda wake.

Usiponielewa hapo tukianz story za BC na AD ndio utapotez kabisa utaona kichina tu, maana huko miaka ilikuwa inahesabiwa kurudi nyuma.
 
View attachment 3052621
View attachment 3052622
Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imemteua Raia wa Rwanda, Uwayezu Francois Regis kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu hiyo kuanzia Agosti 1, 2024 baada ya Mkurugenzi aliyekuwepo, Imani Kajula kujiuzulu miezi michache iliyopita

UwayezuFrancoisRegis amewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Soka la Rwanda kwa zaidi ya miaka mitatu, Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya APR. Pia ni Mwanachama Mwanzilishi wa Chama cha Makocha wa Soka Rwanda na Mratibu Mkuu wa CAF

PIA SOMA
- Imani Kajula aomba kuachia ngazi ya Mtendaji Mkuu (CEO) Simba. Je, ni dalili ya kurejea kwa Barbara Gonzalez?
baada ya Sanda fc kumpa uraia bure bure mkimbizi kibu dii kibu denga sasa wameona wawape mashushu ya kagame kazi nchini...hii haikubali,haka katimu kataipeleka pabaya nchi yetu kwa kufosi mambo ili waonekane na wao wamo
 
Hakuna cha voice note, tikisa kichwa tu. Haiwezekani kila anayekuelewesha huelewi. Hiyo siku nyingine jitahidi kujieleza vizuri utajibiwa vizuri
Tatizo wanasikiliza taarifa za vijiweni na ushabiki. Hajui kama Kajura sio msemaji WA Simba. Mzee Magoma kawachanganya 😂
 
Mangungu ni mwenyekiti wa simba sport club, upande wa wanachama.

MO ni mwenyekiti wa board( kabla yake alikuwa ni tyr again)

Huyu ni CEO.
Bora umeanzisha tuition. Timu ya Magoma INA vihiyo wengi😁
 
Back
Top Bottom