Marekebisho sio Mkurugenzi Mtendaji bali ni Afisa Mtendaji Mkuu au Mtendaji Mkuu (Chief Executive Oficcer).View attachment 3052621
View attachment 3052622
Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imemteua Raia wa Rwanda, Uwayezu Francois Regis kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu hiyo kuanzia Agosti 1, 2024 baada ya Mkurugenzi aliyekuwepo, Imani Kajula kujiuzulu miezi michache iliyopita
UwayezuFrancoisRegis amewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Soka la Rwanda kwa zaidi ya miaka mitatu, Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya APR. Pia ni Mwanachama Mwanzilishi wa Chama cha Makocha wa Soka Rwanda na Mratibu Mkuu wa CAF
PIA SOMA
- Imani Kajula aomba kuachia ngazi ya Mtendaji Mkuu (CEO) Simba. Je, ni dalili ya kurejea kwa Barbara Gonzalez?
Mnyarwanda ndio mpango mzima hawacheki na kima hao jamaa. Ukizingua zinapigwa hata kavu kavu.I'm disappointed, was expecting Babra to return to the office ili awanyooshe wapiga dili simba
Hakuna Proffesional yeyote ambaye anaresign halafu baadaye arudi tena hapohapo.I'm disappointed, was expecting Babra to return to the office ili awanyooshe wapiga dili simba
Iko UwanjaniHakuna Proffesional yeyote ambaye anaresign halafu baadaye arudi tena hapohapo.
Barbara ana cv ya kufanyakazi popote duniani sasa aje kupigiza kelele waswahili?
Kwanza muulize Barbara pesa mliyochanganya ujenzi wa uwanja iko wapi?
MbumbumbuIko Uwanjani
Una swali Lingine?
Kajura ameresign tangu last moth alikuwa anamalizia muda tu ili Simba watafute CEO mpya.Simba ina Ma CEO wangapi
Nijibu swali langu mana sielewagiKajura ameresign tangu last moth alikuwa anamalizia muda tu ili Simba watafute CEO mpya.
Sijui kwa nini huwa mnaamini hili jambo ni la upande mmoja. Kwamba Simba ikimuhitaji yeyote inampata. Haiko hivyo, Barbara naye ana concert yakeI'm disappointed, was expecting Babra to return to the office ili awanyooshe wapiga dili simba
English kidogo tu umepoteanaSimba ina Ma CEO wangapi
Daah! Kuna haja ya kucomment kwa voice note jamani!English kidogo tu umepoteana
Hakuna cha voice note, tikisa kichwa tu. Haiwezekani kila anayekuelewesha huelewi. Hiyo siku nyingine jitahidi kujieleza vizuri utajibiwa vizuriDaah! Kuna haja ya kucomment kwa voice note jamani!
Nmeuliza kutaka tu kuelewa mana unaskia CEO fulani CEO fulani unakua huelewi system ikoje, sasa katika kutaka kuelewesha unaomba kueleweshwa na mtu ambae unahisi anafahamu akufungue macho anaanza kukuzodoa!! Aisee!
Basi mkuu ntaeleweshwa siku ingine na mtu mwingine
Mungu atakulipiaDaah! Kuna haja ya kucomment kwa voice note jamani!
Nmeuliza kutaka tu kuelewa mana unaskia CEO fulani CEO fulani unakua huelewi system ikoje, sasa katika kutaka kuelewesha unaomba kueleweshwa na mtu ambae unahisi anafahamu akufungue macho anaanza kukuzodoa!! Aisee!
Basi mkuu ntaeleweshwa siku ingine na mtu mwingine