Simba wamtangaza CEO mpya, mrithi wa Imani Kajula

Nijibu swali langu mana sielewagi
Simba ina CEO mmoja tu na ndio huyo aliyetambulishwa, aliyekuwa CEO kabla ya huyo amemaliza muda wake.

Usiponielewa hapo tukianz story za BC na AD ndio utapotez kabisa utaona kichina tu, maana huko miaka ilikuwa inahesabiwa kurudi nyuma.
 
baada ya Sanda fc kumpa uraia bure bure mkimbizi kibu dii kibu denga sasa wameona wawape mashushu ya kagame kazi nchini...hii haikubali,haka katimu kataipeleka pabaya nchi yetu kwa kufosi mambo ili waonekane na wao wamo
 
Hakuna cha voice note, tikisa kichwa tu. Haiwezekani kila anayekuelewesha huelewi. Hiyo siku nyingine jitahidi kujieleza vizuri utajibiwa vizuri
Tatizo wanasikiliza taarifa za vijiweni na ushabiki. Hajui kama Kajura sio msemaji WA Simba. Mzee Magoma kawachanganya 😂
 
Mangungu ni mwenyekiti wa simba sport club, upande wa wanachama.

MO ni mwenyekiti wa board( kabla yake alikuwa ni tyr again)

Huyu ni CEO.
Bora umeanzisha tuition. Timu ya Magoma INA vihiyo wengi😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…