Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Pole sana ndugu MangunguIntestine
Hahahaa.Simba waongo sana aisee wametengeneza mgogoro wa uongo sana aisee wanajua wote mapimbi tutakubali kirahisi tu..
Ushawasahau walikuja na mabaunsa wao wakakimbia gemu mkapa eti hawajafanya mazoezi leo wameona gemu karibu hiyo gemu inaweza kuota mbawa tupo hapa.Hahahaa.
Sisi hatutaki kupewa points za mezani, waje tumalizaneUshawasahau walikuja na mabaunsa wao wakakimbia gemu mkapa eti hawajafanya mazoezi leo wameona gemu karibu hiyo gemu inaweza kuota mbawa tupo hapa.
Usikute Mangungu yupo kwenye payroll ya GSM.Kwakifupi si Moo wala Magori, wote wanaogopa sana kipigo cha kihistoria watakachopata tarehe 12/08/2026 hivyo wameona watengeneze mgogoro ili ionekane Yanga kaifumua Simba magoli 15 - 0 kipindi Simba haijakaa sawa.
Mimi ni Yanga lakini Mangungu aendelee.Usikute Mangungu yupo kwenye payroll ya GSM.
Sasa hapa tatizo la mwekezaji wa sasa ni nini ?Ifike mahala Simba ipate mwekezaji mwingine achukue hisa na asiingiliwe katika operation.... Maswala ya kusema eti tuna jenga timu kila msimu ni umama
Hana maamuzi, hana boundaries, anatoa pesa kimanyanyasoSasa hapa tatizo la mwekezaji wa sasa ni nini ?
Mnataka afanye maamuzi yapi wakati mchakato wa kumpa hayo mamlaka haujakamilika ?Hana maamuzi, hana boundaries, anatoa pesa kimanyanyaso
Amemnyanyasa nani baada ya kutoa pesaHana maamuzi, hana boundaries, anatoa pesa kimanyanyaso
Mnataka boundaries zipi ?Hana maamuzi, hana boundaries, anatoa pesa kimanyanyaso