Simba wana akili nyingi sana. Baada ya usajili kubuma wameamua kujivunja

Kwakifupi si Moo wala Magori, wote wanaogopa sana kipigo cha kihistoria watakachopata tarehe 12/08/2026 hivyo wameona watengeneze mgogoro ili ionekane Yanga kaifumua Simba magoli 15 - 0 kipindi Simba haijakaa sawa.
Mimi ni Yanga damu, lakini sijaona kuwa Simba wako vibaya, timu yao ile ya mwaka jana haikuwa mbaya ndio maana tumewakwepa kwenye CRDB Cup, hatukuwa na uhakika wa kushinda, walitufunga kule Zanzibar na draw ya Isamuyo.
Bado hawana timu mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…