Simba wana jambo lao kesho. Wanadai jambo la Watani zao limebuma

Simba mpo vizuri mnashinda tu mituzo.
Screenshot_20220613-145454_Instagram.jpg
 
Kweli Simba ndio ilipofikia uku!! Yaani CEO wa Klabu anafikia hatua ya kupokea na kupiga picha na tuzo za mchongo!!
Sikufikiri kua anguko la Simba litakua kubwa Kwa kiwango hiki.
 
CEO wetu Barbara nampenda sana, nitaendelea kumwombea aendelee kidumu kwenye hiyo nafasi hata kwa miaka 20 ijayo

Back
Top Bottom