Simba wana jambo lao saa 11 jioni hii, kaeni mkao wa kula

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746

Sijajua kuna nini hasa, ila tusubiri tu mpaka saa kumi na moja jioni. Wale wa Mtaa wa Pili kama unajijua una Presha za hapa na pale basi agiza kabisa vidonge ukae na maji tayari tayari.

Pia angalieni salio la bando lisije kua linaisha kabla ya muda huo mkakosa vitu. Yangu Ni hayo tu.

UPDATES,
 
Iyo saa kumi na moja hata tukiacha kusajir poa ,maana uyo jamaa anacheza kila No uwanjan
 
Pengine utasikia wakimkaribisha Makambo wa DRC. Shiboub au Deo Kanda kuna mmoja anaachwa Msimbazi - Kishingo hajawakubali kwenye kikosi.
 
Mkongomani Chriss Mugalu na Mzambia Larry Bwalya tayari wametua
 
Mimi huwa sinaimani na usajili Kama huu ...eti kutetemesha nchi!Mambo ya kutetemesha a na Yanga Ni ya kale Sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…