Simba wana jambo lao saa 11 jioni hii, kaeni mkao wa kula

Larry bwalya
IMG-20200815-WA0024.jpeg
 
Ama kweli mbumbumbu wanakwenda ki mihemko uyo jamaa anacheza kiungo mshambuliaji Sasa Simba walivyo sikia Yanga Wana mtaka Waka kurupuka Sasa sijui anakwenda kucheza namba ngapi wakati tatizo sugu la Simba ni namba 6.
 
Tangu lini yanga akamuonea huruma simba? Eti tatizo letu namba sita.... We yanga kinakuuma nini?
Na mkizubaa tunawapora wachezaji wote tuwagawie hata biashara United.....
 
Ama kweli mbumbumbu wanakwenda ki mihemko uyo jamaa anacheza kiungo mshambuliaji Sasa Simba walivyo sikia Yanga Wana mtaka Waka kurupuka Sasa sijui anakwenda kucheza namba ngapi wakati tatizo sugu la Simba ni namba 6.
Kocha wa Simba umeongea sasa@ Inauma eeeh?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom