Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni yule anatema Kushoto kisha anafukia kulia... Hapo mpaka half time hamna hamna basi Mnyama 4-0 Uto FCView attachment 1538139
Simba Sc ni mafia wamemteka Larry Bwalya machine. Yanga imeondoka leo na Ethiopia airline kumfuta. Mngewaambia wasipoteze nauli
Jamaa ni left-footed, nimemchek youtube ni midfielder hatar sana.View attachment 1538139
Simba Sc ni mafia wamemteka Larry Bwalya machine. Yanga imeondoka leo na Ethiopia airline kumfuta. Mngewaambia wasipoteze nauli
Wao wana Senzo. HaaahaaaHili ni bao wamepigwa La utopolo
Hahahahahaha! Wapamabane na Senzo wao.Wao wana Senzo. Haaahaaa
Yanga ndo ana malengo?Simba na usajili usiokua na malengo!
View attachment 1538170
Wikipedia nao walikuwa wanasikilizia
View attachment 1538139
Simba Sc ni mafia wamemteka Larry Bwalya machine. Yanga imeondoka leo na Ethiopia airline kumfuta. Mngewaambia wasipoteze nauli
Tangu lini yanga akamuonea huruma simba? Eti tatizo letu namba sita.... We yanga kinakuuma nini?Ama kweli mbumbumbu wanakwenda ki mihemko uyo jamaa anacheza kiungo mshambuliaji Sasa Simba walivyo sikia Yanga Wana mtaka Waka kurupuka Sasa sijui anakwenda kucheza namba ngapi wakati tatizo sugu la Simba ni namba 6.
Kocha wa Simba umeongea sasa@ Inauma eeeh?Ama kweli mbumbumbu wanakwenda ki mihemko uyo jamaa anacheza kiungo mshambuliaji Sasa Simba walivyo sikia Yanga Wana mtaka Waka kurupuka Sasa sijui anakwenda kucheza namba ngapi wakati tatizo sugu la Simba ni namba 6.