NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
😂😂😂😂 wacha yawe Mahaba SwahibaSwaiba hayo sio mapenzi Tena Ni mahaba daaah
Ndio hivyo.Kwahiyo?
Oyoooo
Goool salamba
Goool demla 2
Mmmh.Mpoooooo
😀😀😀 kwani ilikuwaje? Sababu kwangu umeme ulikata.Bado haamini anachokiona
😂😂😂 nitakubali hii kauli jumapili.Hii Simba inaweza ikawa sukari kwenye chai
Chenye uchungu kwa mbaaliKiporo cha kwanza kimekuwa kitam
VipMmmh.
Hongera kwa utabiri
Hamna maana tulishiba mapema tukawa wavivuChenye uchungu kwa mbaali
Ahsante. Pole kwa kupata tabu.Hongera kwa utabiri
[emoji23]Ahsante. Pole kwa kupata tabu.
Mmh. Hivyo ikabidi zile silaha za Nkana muzisukumie ndani.Hamna maana tulishiba mapema tukawa wavivu
😂😂[emoji23]
Tuliziweka kupiga japo tizi kidogoMmh. Hivyo ikabidi zile silaha za Nkana muzisukumie ndani.