Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Aah. Wapi! Kuwa tu mkweli mlizidiwa.Tuliziweka kupiga japo tizi kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah. Wapi! Kuwa tu mkweli mlizidiwa.Tuliziweka kupiga japo tizi kidogo
Wewe wasemaAah. Wapi! Kuwa tu mkweli mlizidiwa.
Ndio. Mlizidiwa.Wewe wasema
Kikubwa ushindiNdio. Mlizidiwa.
Sawa. HongeraKikubwa ushindi
Sawa. Hongera
"Msema kweli ni mpenzi wa Mungu", mwisho wa kunukuu. Na wewe sasa hebu mwaga pongezi zako za dhati hapa kwa wana Msimbazi basi Shadeeya
Hongereni wote kwa kupasha kiporo chenu kikapashika."Msema kweli ni mpenzi wa Mungu", mwisho wa kunukuu. Na wewe sasa hebu mwaga pongezi zako za dhati hapa kwa wana Msimbazi basi Shadeeya
😀😀😀😀,😀😀😀 kwani ilikuwaje? Sababu kwangu umeme ulikata.
Kwa niaba ya Wanamsimbazi napokea pongezi hizo na nachukua fursa hii kukualika Jumapili pale kwa Mchina wakati tutakua tunahitimisha safari ya Nkana Red Devils kwenye michuano ya msimu huu ya CAF Champions LeagueHongereni wote kwa kupasha kiporo chenu kikapashika.
Sapta Sapta sweetlee brave one Mtoto halali na hela na wengineo wengi
Baada ya kumtoa Salamba, Haruna na Rashid Juma wakapoteana kabisa. Nna wasiwasi na uwezo wa kocha kuusoma mchezo. Kingebaki kile kikosi kingepata bao la tatu.Shadeeya hebu tupe pongezi na zawadi ya ushindi pia
Ila kama anavyosemaga naniliu kua msema kweli ni mpenzi wa Mungu....wale watoto KMC waliniweka roho juu hasa dakika za mwisho...walitaka kutuvunjia heshima wale