utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Simba haijaweka kambi Dubai, Simba imegeuzwa punda kupeleka bwimbi la matycoon Dubai.Mtu yoyote anayesimama upande wa feitoto mnamwona ni Simba au sababu feitoto alienda Dubai na Simba ameenda KUWEKA Kambi huko
Ni roho tu ya kisokolokwinyo.Ukijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je wao wananufaika nini na huo upande wanaoutetea?
Je hizi ndio mbinu mpya za nje ya uwanja wameona wazitumie baada ya ndani ya uwanja mambo kuwa magumu kwao?
Mashabiki na watu wote wenye vinasaba na makolo wanapitia hali ngumu kisaikolojia wanajua ubingwa wa caf hawana uwezo wa kuupata na hapa nyumbani hawana uwezo wa kupambania taji lolote na yanga kwaiyo wanaishi kwa propaganda na kufurahia chochote ambacho wanaamini sio habari njema kwa yanga walianza bahasha, saiv wamekua mawakili wa feisal, mashindano ya ndani wanajua msimu huu washapoteza saiv wanaishi na propaganda kwamba wao lengo lao ni mashindano ya CAF hii yote ni kulazimisha furaha ingawa moyoni wana maumivu makali sanaUkijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je wao wananufaika nini na huo upande wanaoutetea?
Je hizi ndio mbinu mpya za nje ya uwanja wameona wazitumie baada ya ndani ya uwanja mambo kuwa magumu kwao?
Kama mlivyomgeuza manaraSimba haijaweka kambi Dubai, Simba imegeuzwa punda kupeleka bwimbi la matycoon Dubai.
Watu wanaopitia wakati mgumu maishani ni pamoja na mashabiki wa Simba S.C sioni ajabu badala ya kujibu hoja unaanza kumshambulia mleta hoja personalJina lenyewe ni utopolo og unafikiri utaongea point wewe?????tunaambiwaga tuwe makini wakati wa kiwapa majina watoto wetu,maana majina yanaakisi uhalisia wa chimbuko lake....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole...utopwinho
Kuihusisha Simba na Jambo la Feisal huwatendei haki. Pale Simba ni Mtu mmoja tu aliyekosa busara ndo kaliongelea suala la Kisheria kishabiki. Naye si mwingine ni Ahmed Ally. Tilishasema kuna vyeo unatakiwa kutembea na busara Muda wote lakini mwenzetu kaamua kukabidhi akili kwa mashabiki. Hata humu JF wanahesabika walioshabikia Utoto wa Feitoto.Ukijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je wao wananufaika nini na huo upande wanaoutetea?
Je hizi ndio mbinu mpya za nje ya uwanja wameona wazitumie baada ya ndani ya uwanja mambo kuwa magumu kwao?
Atupendi wachezaji walipwe afutatuUkijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je wao wananufaika nini na huo upande wanaoutetea?
Je hizi ndio mbinu mpya za nje ya uwanja wameona wazitumie baada ya ndani ya uwanja mambo kuwa magumu kwao?
Kibu,Mzamiru, shabalala wanalipwa efu 2Atupendi wachezaji walipwe afutatu
Lakini imeenda DubaiSimba haijaweka kambi Dubai, Simba imegeuzwa punda kupeleka bwimbi la matycoon Dubai.
Ukigombana na mwanafamilia wako, kabla ya kuanza kuangalia kama jirani anashangilia au hashangilii ugomvi, ni vyema ukajitathmini mwenyewe kama kwa nini ndani mwako kuna ugomvi!Ukijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je wao wananufaika nini na huo upande wanaoutetea?
Je hizi ndio mbinu mpya za nje ya uwanja wameona wazitumie baada ya ndani ya uwanja mambo kuwa magumu kwao?
Klabu zote za maana zinaweka malengo mashindano ya CAF klabu bingwa. Katika mashindano makubwa kufanikiwa kuna viwango na kiwango bora zaidi ni kuwa bingwa. Morocco hakuwa bingwa WC lakini kufika nusu final ni mafanikio na ni mwenda wazimu tu atasema bingwa wa Afcon Senegal Wana furaha kuliko Morocco.Mashabiki na watu wote wenye vinasaba na makolo wanapitia hali ngumu kisaikolojia wanajua ubingwa wa caf hawana uwezo wa kuupata na hapa nyumbani hawana uwezo wa kupambania taji lolote na yanga kwaiyo wanaishi kwa propaganda na kufurahia chochote ambacho wanaamini sio habari njema kwa yanga walianza bahasha, saiv wamekua mawakili wa feisal, mashindano ya ndani wanajua msimu huu washapoteza saiv wanaishi na propaganda kwamba wao lengo lao ni mashindano ya CAF hii yote ni kulazimisha furaha ingawa moyoni wana maumivu makali sana
Hata wafankazi wa ndani wanaenda DubaiLakini imeenda Dubai
Nyie mtachukua ubingwa tu, kipa wa mtibwa alinipa jibu la kutosha kwamba ninyi ni mabingwa haswa.Mashabiki na watu wote wenye vinasaba na makolo wanapitia hali ngumu kisaikolojia wanajua ubingwa wa caf hawana uwezo wa kuupata na hapa nyumbani hawana uwezo wa kupambania taji lolote na yanga kwaiyo wanaishi kwa propaganda na kufurahia chochote ambacho wanaamini sio habari njema kwa yanga walianza bahasha, saiv wamekua mawakili wa feisal, mashindano ya ndani wanajua msimu huu washapoteza saiv wanaishi na propaganda kwamba wao lengo lao ni mashindano ya CAF hii yote ni kulazimisha furaha ingawa moyoni wana maumivu makali sana