Simba wana maslahi gani na mgogoro wa kimkataba kati ya Feisal Salum na Yanga S.C

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Ukijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je wao wananufaika nini na huo upande wanaoutetea?

Je hizi ndio mbinu mpya za nje ya uwanja wameona wazitumie baada ya ndani ya uwanja mambo kuwa magumu kwao?
 
Ni roho tu ya kisokolokwinyo.
Hakuna maslahi ya maana mbali na kuitakia Yanga mabaya.
 
Ukijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je wao wananufaika nini na huo upande wanaoutetea?

Je hizi ndio mbinu mpya za nje ya uwanja wameona wazitumie baada ya ndani ya uwanja mambo kuwa magumu kwao?
Mashabiki na watu wote wenye vinasaba na makolo wanapitia hali ngumu kisaikolojia wanajua ubingwa wa caf hawana uwezo wa kuupata na hapa nyumbani hawana uwezo wa kupambania taji lolote na yanga kwaiyo wanaishi kwa propaganda na kufurahia chochote ambacho wanaamini sio habari njema kwa yanga walianza bahasha, saiv wamekua mawakili wa feisal, mashindano ya ndani wanajua msimu huu washapoteza saiv wanaishi na propaganda kwamba wao lengo lao ni mashindano ya CAF hii yote ni kulazimisha furaha ingawa moyoni wana maumivu makali sana
 
Jina lenyewe ni utopolo og unafikiri utaongea point wewe?????tunaambiwaga tuwe makini wakati wa kiwapa majina watoto wetu,maana majina yanaakisi uhalisia wa chimbuko lake....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole...utopwinho
Watu wanaopitia wakati mgumu maishani ni pamoja na mashabiki wa Simba S.C sioni ajabu badala ya kujibu hoja unaanza kumshambulia mleta hoja personal
 
Ukijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je wao wananufaika nini na huo upande wanaoutetea?

Je hizi ndio mbinu mpya za nje ya uwanja wameona wazitumie baada ya ndani ya uwanja mambo kuwa magumu kwao?
Kuihusisha Simba na Jambo la Feisal huwatendei haki. Pale Simba ni Mtu mmoja tu aliyekosa busara ndo kaliongelea suala la Kisheria kishabiki. Naye si mwingine ni Ahmed Ally. Tilishasema kuna vyeo unatakiwa kutembea na busara Muda wote lakini mwenzetu kaamua kukabidhi akili kwa mashabiki. Hata humu JF wanahesabika walioshabikia Utoto wa Feitoto.
 
Ukijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je wao wananufaika nini na huo upande wanaoutetea?

Je hizi ndio mbinu mpya za nje ya uwanja wameona wazitumie baada ya ndani ya uwanja mambo kuwa magumu kwao?
Atupendi wachezaji walipwe afutatu
 
Ukigombana na mwanafamilia wako, kabla ya kuanza kuangalia kama jirani anashangilia au hashangilii ugomvi, ni vyema ukajitathmini mwenyewe kama kwa nini ndani mwako kuna ugomvi!
 
Mashabiki na watu wote wenye vinasaba na makolo wanapitia hali ngumu kisaikolojia wanajua ubingwa wa caf hawana uwezo wa kuupata na hapa nyumbani hawana uwezo wa kupambania taji lolote na yanga kwaiyo wanaishi kwa propaganda na kufurahia chochote ambacho wanaamini sio habari njema kwa yanga walianza bahasha, saiv wamekua mawakili wa feisal, mashindano ya ndani wanajua msimu huu washapoteza saiv wanaishi na propaganda kwamba wao lengo lao ni mashindano ya CAF hii yote ni kulazimisha furaha ingawa moyoni wana maumivu makali sana
Klabu zote za maana zinaweka malengo mashindano ya CAF klabu bingwa. Katika mashindano makubwa kufanikiwa kuna viwango na kiwango bora zaidi ni kuwa bingwa. Morocco hakuwa bingwa WC lakini kufika nusu final ni mafanikio na ni mwenda wazimu tu atasema bingwa wa Afcon Senegal Wana furaha kuliko Morocco.

Mashindano ya CAF yanakupa furaha kila hatua unayosonga mbele. Klabu ya maana itaona hii ligi ni ya kukupatia tiketi tu ili kushiriki kimataifa.
 
Mashabiki na watu wote wenye vinasaba na makolo wanapitia hali ngumu kisaikolojia wanajua ubingwa wa caf hawana uwezo wa kuupata na hapa nyumbani hawana uwezo wa kupambania taji lolote na yanga kwaiyo wanaishi kwa propaganda na kufurahia chochote ambacho wanaamini sio habari njema kwa yanga walianza bahasha, saiv wamekua mawakili wa feisal, mashindano ya ndani wanajua msimu huu washapoteza saiv wanaishi na propaganda kwamba wao lengo lao ni mashindano ya CAF hii yote ni kulazimisha furaha ingawa moyoni wana maumivu makali sana
Nyie mtachukua ubingwa tu, kipa wa mtibwa alinipa jibu la kutosha kwamba ninyi ni mabingwa haswa.
 
Back
Top Bottom