Simba wana maslahi gani na mgogoro wa kimkataba kati ya Feisal Salum na Yanga S.C

Nyie mtachukua ubingwa tu, kipa wa mtibwa alinipa jibu la kutosha kwamba ninyi ni mabingwa haswa.
na yule kipa wa singida aliyewapa Makolo goli unamzungumziaje?? Fei Toto hatoki bure, walete hela wapewe mchezaji!
 
Unafikiri hawayajui hayo? Ni wivu tu na roho mbaya. Wanajifunza mengi kutokea Simba ila badala yake wanataka kushindana na yule wanayejifunza kutoka kwake badala ya kuwa wanyenyekevu.
 
Wakati huu ndio unalitambua hilo? Kwani Yanga walikuwa wanapata faida gani kuwapokea timu pinzani zilizokuwa zinacheza na Simba kwenye mashindanon ya caf?
 
Simba ni timu inayoenda kujifia kifo Cha mende, inachofanya kwa sasa ni kama mfa maji tu
 
na yule kipa wa singida aliyewapa Makolo goli unamzungumziaje?? Fei Toto hatoki bure, walete hela wapewe mchezaji!
Kwaniimi pia ntagawiwa?mimi nawe twachangamsha baraza hapa.
 
Utopolo Og aka mcheza uchi og aka kandambili og aka wauza bwimbwi og aka gongowqzi og
 
Maamuzi ya Tff kuhusu Faisal yaheshimiwe kama yalivyoheshimiwa yale maamuzi ya kumfungia Manara.
 
Utopolo Og aka mcheza uchi og aka kandambili og aka wauza bwimbwi og aka gongowqzi og
We dunduka hebu nenda Kawasaidie wenzako wanaotaka kwenda FIFA
 
We dunduka hebu nenda Kawasaidie wenzako wanaotaka kwenda FIFA
Hatuna shida na wale vilaza wenu walipigwa chini na morison n baadae mkamsajili na kumlipa mshahara mkubwa kwa ukihiyo wenu
Luc eymael hakukosea kuwaita manyani mambwa mna bweka bweka hovyo hamna akili
 
Faisal alipotoka Unguja hamu yake ilikuwa ni kucheza SIMBA..ila mahitaji ya nyakati yakampeleka yanga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole sana Kwa maumivu. Paka saivi mnapumulia mashine
 
Ushawahi sikia hii kauli "adui muombee njaa"?
 
Faisal alipotoka Unguja hamu yake ilikuwa ni kucheza SIMBA..ila mahitaji ya nyakati yakampeleka yanga
Mkuu Bora ubakie kule kwenye mambo yako ya tunguli, haya mambo ya mpira yapo juu ya uelewa wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyie mtachukua ubingwa tu, kipa wa mtibwa alinipa jibu la kutosha kwamba ninyi ni mabingwa haswa.
Ukipata wasaa pia uende na kwa kipa wa Simba, Azam na club african ukaendelee kupata majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…