Simba wana maslahi gani na mgogoro wa kimkataba kati ya Feisal Salum na Yanga S.C

na yule kipa wa singida aliyewapa Makolo goli unamzungumziaje?? Fei Toto hatoki bure, walete hela wapewe mchezaji!
Nani sasa wanamtaka.mbona hamsemi mnalialia.Ninyi lini mlifanya biashara za wachezaji.
 
Wapi na lini uongozi wa Simba wamejihusisha na huo Utopolo wenu.Pambabeni na hali yenu,mambo ya washabiki mitandaoni ni mahoka tu watu kucharurana. Koma kabisa kuihusisha Simba na mgogoro wenu.
 
Wapi na lini uongozi wa Simba wamejihusisha na huo Utopolo wenu.Pambabeni na hali yenu,mambo ya washabiki mitandaoni ni mahoka tu watu kucharurana. Koma kabisa kuihusisha Simba na mgogoro wenu.
We popoma unateseka ukiwa wapi
 
Maslahi ya Simba ni kuwaonesha ujinga wenu, mbumbumbu wa kuingia mikataba na wachezaji wenu.
 
Maslahi ya Simba ni kuwaonesha ujinga wenu, mbumbumbu wa kuingia mikataba na wachezaji wenu.
Pole sana mkuu. Wewe ni miongoni mwa bush lawyers wengi waliopo humu jumvini, Kwa namna ulivyokuwa ukitetea Fei kuvunja mkataba na Yanga sijui upo kwenye hali gani sasahivi
 
mmesahau walicho fanya kwa morrison,hawa jamaa ni mabingwa wa fitina
 
Kwani ishu ya Morrison ilikuwaje? Yanga walikuwa upande wa nani?
 
Jitoeni kwenye mashindano mengine basi. Acahaneni na izo propaganda za kitoto ukweli ni kwamba mnaanza msimu mkuwa na mkakati na ubingwa wa ligi kuu sasa pale mnapooana hakuna matumaini ndo mnakuja na izo propaganda kubalini tu ubingwa mnautaka ila mpinzani wako yupo imara zaidi sio kuleta habari za sizitaki mbichi hizi
 
Simba wako bize na maandalizi ya mashindano ya kimataifa hawana muda mchafu kushughulika na mambo ya Utopolo,pambaneni na hali yenu tu msitafute bangusilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…