Simba wana maslahi gani na mgogoro wa kimkataba kati ya Feisal Salum na Yanga S.C

na yule kipa wa singida aliyewapa Makolo goli unamzungumziaje?? Fei Toto hatoki bure, walete hela wapewe mchezaji!
Nani sasa wanamtaka.mbona hamsemi mnalialia.Ninyi lini mlifanya biashara za wachezaji.
 
Ukijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je wao wananufaika nini na huo upande wanaoutetea?

Je hizi ndio mbinu mpya za nje ya uwanja wameona wazitumie baada ya ndani ya uwanja mambo kuwa magumu kwao?
Wapi na lini uongozi wa Simba wamejihusisha na huo Utopolo wenu.Pambabeni na hali yenu,mambo ya washabiki mitandaoni ni mahoka tu watu kucharurana. Koma kabisa kuihusisha Simba na mgogoro wenu.
 
We popoma unateseka ukiwa wapi
 
Maslahi ya Simba ni kuwaonesha ujinga wenu, mbumbumbu wa kuingia mikataba na wachezaji wenu.
 
Pole sana mkuu. Wewe ni miongoni mwa bush lawyers wengi waliopo humu jumvini, Kwa namna ulivyokuwa ukitetea Fei kuvunja mkataba na Yanga sijui upo kwenye hali gani sasahivi
 
Ukijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je wao wananufaika nini na huo upande wanaoutetea?

Je hizi ndio mbinu mpya za nje ya uwanja wameona wazitumie baada ya ndani ya uwanja mambo kuwa magumu kwao?
mmesahau walicho fanya kwa morrison,hawa jamaa ni mabingwa wa fitina
 
Ukijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je wao wananufaika nini na huo upande wanaoutetea?

Je hizi ndio mbinu mpya za nje ya uwanja wameona wazitumie baada ya ndani ya uwanja mambo kuwa magumu kwao?
Kwani ishu ya Morrison ilikuwaje? Yanga walikuwa upande wa nani?
 
Klabu zote za maana zinaweka malengo mashindano ya CAF klabu bingwa. Katika mashindano makubwa kufanikiwa kuna viwango na kiwango bora zaidi ni kuwa bingwa. Morocco hakuwa bingwa WC lakini kufika nusu final ni mafanikio na ni mwenda wazimu tu atasema bingwa wa Afcon Senegal Wana furaha kuliko Morocco.

Mashindano ya CAF yanakupa furaha kila hatua unayosonga mbele. Klabu ya maana itaona hii ligi ni ya kukupatia tiketi tu ili kushiriki kimataifa.
Jitoeni kwenye mashindano mengine basi. Acahaneni na izo propaganda za kitoto ukweli ni kwamba mnaanza msimu mkuwa na mkakati na ubingwa wa ligi kuu sasa pale mnapooana hakuna matumaini ndo mnakuja na izo propaganda kubalini tu ubingwa mnautaka ila mpinzani wako yupo imara zaidi sio kuleta habari za sizitaki mbichi hizi
 
Ukijaribu kuangalia hili suala kuna kitu utagundua, kuanzia viongozi, wachambuzi, waandishi wa habari wenye vinasaba vya usimba pamoja na mashabiki wao wanatetea kwa ngugu zote upande mojawapo. Je wao wananufaika nini na huo upande wanaoutetea?

Je hizi ndio mbinu mpya za nje ya uwanja wameona wazitumie baada ya ndani ya uwanja mambo kuwa magumu kwao?
Simba wako bize na maandalizi ya mashindano ya kimataifa hawana muda mchafu kushughulika na mambo ya Utopolo,pambaneni na hali yenu tu msitafute bangusilo
 
Back
Top Bottom